BRAZA CHOGO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 761
- 1,984
Ulimhola!
Juzi nimepanda basi la kwenda makete, nimepiga zangu pamba kali, chini nimevaa raba za bei mbaya, miwani na earphones.
Safari ikaanza vizuri, AC inapuliza taratibuu huku mwendo wa basi ukiwa mwanana kabisa.
Pembeni yangu aliketi babu mmoja ana miaka kama 60 hivi kwa kumtazama, amevaa likoti chafu la kijivu huku amefungasha limfuko la rambo na kulipakata.
Sinaga mazoea ya kuongeleshana na abiria mwenzangu, kwahiyo nikawa nimeuchuna tu nasikiliza ngoma za CHRIS BROWN.
Baadaye yule mzee akaanza kuniongelesha, nikawa najaribu kumpuuzia lakini akawa analazimisha huku ananiuliza vimaswali visivyoeleweka.
Mwanzoni nilihisi kaharufu cha ajabu kila anapoongea, lakini nikajikaza nikadhamiria kumkaushia kabisa mpaka mwisho wa safari.
Baadaye akazidisha sasa kuniongelesha, ikabidi nivue earphones zote nikawa namuitikia tuu, DAAAAAH, mzee ananuka mdomo kama PANYA BUKU!!
Nikawa namkwepa huku najaribu kukatiza maongezi lakini ndio kama anazidisha sasa huku ananipumulia mdomoni kwa kasi..... nilihisi tumbo linavuruga, nikawa natamani kwenda chooni, masikio yakazibaaa kabisaa macho yakawa mekundu NDUuuuuuuH!
Nikamkata jicho la kijeshii, akanyamaza.... nikaona anafungua fuko lake akatoa machips akaanza kubugia... nilihisi kinyaaa....
Tukaenda mbele kidogo akaanza kupiga miayo hovyo huku hafungi domo, harufu kali inatoka domo kubwaaaaa mwaaaaahhh nikatamani kuhama siti... kila baada ya dakika tano anapiga miayo halafu hafungi domo... NILIJUTRAAAAAA
Nikaona anatoa jiti la kiberiti anachokonoa meno halafu ananusa..... kuna watu wana laana aiseee...
AIONE KWENYE JALADA: Nyani Ngabu Lloyd Munroe SECRETARY BIRD Poor Brain Mbaga Jr Lamomy min -me raraa reree