Vipi atakuwa ameelezea kilichomfanya amlazimishe baba wa taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutibiwa Uingereza wakati mwenyewe hakutaka, akasababisha akarudi marehemu.
Li bwanyenye lile haliwezi kukiri kuwa Mimi ni bwanyenye Ila kwenye kitabu limefichua siri baba yake alilitaka Liwe padri nadhani lingekuwa li padri lingekua ni Yale mapadte yanayokula Sacramenti zote peke yake na waumini mkienda kusali mnatoka kavu mnabaki mmekula kitubio plain
Nakumbuka alichukia sana yeye na Mangula kiasi Nzee ya Nsoga alipoingia madarakani na kuwa mwenyekiti wa CCM ali attempt kumfukuza Mzee Mangula katika CCM. Ulikuwa Ni wakati mbaya sana kwa ufisadi. 2015 Nzee ya Nsoga alitaka azivae escrow akakwepa ndo maana akina Sethi na Ruge wapo lupango. NayesaNa sasa hivi msamaha wa dhambi wa wahujumu uchumi utaendeshea kampeni
Akitubu atasamehewa. Hakuna dhambi isiyosamehewa.Nafsi inamsuta kwa aliyotenda after 81yrs of all evils. tiketi ya kwenda motoni.
Hahahahahahahahahah ....Li bwanyenye lile haliwezi kukiri kuwa Mimi ni bwanyenye Ila kwenye kitabu limefichua siri baba yake alilitaka Liwe padri nadhani lingekuwa li padri lingekua ni Yale mapadte yanayokula Sacramenti zote peke yake na waumini mkienda kusali mnatoka kavu mnabaki mmekula kitubio plain
Ameongelea Kiwila na Tanesco. Amedai kusikitishwa na kuhusishwa kwenye ununuzi wa Kiwila uliofanywa na Mkwe wake (kama sijakosea).Mkuu vipi mstaafu ameongelea mgodi wa KIWIRA kwenye kitabu chake?
Bukuuuuuu!! KiiiiiiiiiiiiKikishuka bei mpaka kufikia buku mtanishtua ili nami nikinunue
Nalog off
walisema yakiunganishwa yanakuwa mche wa sabuni ndio nataka kujua kama ameongeleaHivi kilikua kipande cha Sabuni au koleo?
Yawezekana huo msamaha ni geresha tu, ukute walishapiga kimya kimya sehemu!Na sasa hivi msamaha wa dhambi wa wahujumu uchumi utaendeshea kampeni
Inatakiwa asomwe haraf watupe muda wa kutuma maswali kwamba mbona haya na haya hayajaandikwa mana mzee kipind chake kilikuwa na mengi🤣🤣🤣nimeshangaa kuna mdau humu ati anatafta kitabu chake atapataje as a soft copy..kuna mazee hyatakiwi ht kusomwa!
60,000Hii ni pamoja na uandishi uhariri uchapishaji nk, bei yake ni shilingi ngapi? Ningependa kuwa nacho.
Kila ndege anazidisha million 100 dollars yaani ni zaidi ya mwizi mzee mekoCcm = Chama cha majambazi! Hakuna msafi mule, hata huyo jiwe ni mchafu sana!
Ngoja tusubiri kitabu kingine watatueleza. Waligangamala hapa kuwa haikuwa na uhusiano na kuingia kwa JK ikulu, sasa dhamira ya BWM inamsuta lakini zigo kamuangushia Balali (ambaye hawezi kujibu). Hapa ingekuwa Israel watu wangekuwa na kesi za kujibu tu na China shaba ingetembea.Na wakatumia fedha za Escrow kuendesha kampeni.