Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Li bwanyenye lile haliwezi kukiri kuwa Mimi ni bwanyenye Ila kwenye kitabu limefichua siri baba yake alilitaka Liwe padri nadhani lingekuwa li padri lingekua ni Yale mapadte yanayokula Sacramenti zote peke yake na waumini mkienda kusali mnatoka kavu mnabaki mmekula kitubio plain
 
Vipi atakuwa ameelezea kilichomfanya amlazimishe baba wa taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutibiwa Uingereza wakati mwenyewe hakutaka, akasababisha akarudi marehemu.
 
Kifo cha Nyerere waulize JK na Lowassa na mtandao wao wakuingia ikulu 2005....
Vipi atakuwa ameelezea kilichomfanya amlazimishe baba wa taifa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenda kutibiwa Uingereza wakati mwenyewe hakutaka, akasababisha akarudi marehemu.
 
Happy birthday Mzee Mkapa!
Sijawahi kuipenda CCM lakini sijui kwa nn namkubali sana huyu Mzee.
Mapungufu yake ni machache ukilinganisha na mazuri yake
 
Li bwanyenye lile haliwezi kukiri kuwa Mimi ni bwanyenye Ila kwenye kitabu limefichua siri baba yake alilitaka Liwe padri nadhani lingekuwa li padri lingekua ni Yale mapadte yanayokula Sacramenti zote peke yake na waumini mkienda kusali mnatoka kavu mnabaki mmekula kitubio plain

🤣🤣🤣nimeshangaa kuna mdau humu ati anatafta kitabu chake atapataje as a soft copy..kuna mazee hyatakiwi ht kusomwa!
 
Na sasa hivi msamaha wa dhambi wa wahujumu uchumi utaendeshea kampeni
Nakumbuka alichukia sana yeye na Mangula kiasi Nzee ya Nsoga alipoingia madarakani na kuwa mwenyekiti wa CCM ali attempt kumfukuza Mzee Mangula katika CCM. Ulikuwa Ni wakati mbaya sana kwa ufisadi. 2015 Nzee ya Nsoga alitaka azivae escrow akakwepa ndo maana akina Sethi na Ruge wapo lupango. Nayesa
 
Li bwanyenye lile haliwezi kukiri kuwa Mimi ni bwanyenye Ila kwenye kitabu limefichua siri baba yake alilitaka Liwe padri nadhani lingekuwa li padri lingekua ni Yale mapadte yanayokula Sacramenti zote peke yake na waumini mkienda kusali mnatoka kavu mnabaki mmekula kitubio plain
Hahahahahahahahahah ....
Duh!
 
🤣🤣🤣nimeshangaa kuna mdau humu ati anatafta kitabu chake atapataje as a soft copy..kuna mazee hyatakiwi ht kusomwa!
Inatakiwa asomwe haraf watupe muda wa kutuma maswali kwamba mbona haya na haya hayajaandikwa mana mzee kipind chake kilikuwa na mengi
 
Na wakatumia fedha za Escrow kuendesha kampeni.
Ngoja tusubiri kitabu kingine watatueleza. Waligangamala hapa kuwa haikuwa na uhusiano na kuingia kwa JK ikulu, sasa dhamira ya BWM inamsuta lakini zigo kamuangushia Balali (ambaye hawezi kujibu). Hapa ingekuwa Israel watu wangekuwa na kesi za kujibu tu na China shaba ingetembea.
 
Back
Top Bottom