Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"
Uko sahihi mama D, hata taabu wanazopata Watanzania kwa sasa si za kudumu, muda si mrefu Mungu atatenda.Hakuna kitu cha kudumu duniani, iwe kupata au kukosa ni kwa muda tuu
Njaa mbaya Sana, walichelewa kujiandaa Kipindi Cha ujanaNgoja tumsikie na Warioba naye anasemaje! Wameanza kulainika hawa wazee!
Kutegemea huruma kwa Magufuli no sawa na kusubiria Shetani aokoke.Ila kusema ukweli kama huyu mzee ana huruma na Watanzania, basi hiyo miaka yake 10 inamtosha sana. Akiongeza mingine isiyo na kikomo, basi tutarajie kuona baadhi ya Watanzania wakiikimbia nchi kwa kasi ya ajabu.
Huenda yale ya wahamiaji kutoka Ethiopia, yakahamia kwetu. Hii ni kutokana na serikali yake kutumia nguvu nyingi kwenye miundombinu, huku maeneo mengine yanayo gusa maisha ya watanzania moja kwa moja mfano ajira kwa vijana, mzunguko wa fedha mtaani, nk. Yakiendelea kupuuzwa.
M7 kashasema wazi kwamba kwa sasa hakuna Mganda mwenye akili wa kumpa Urais, mpaka hapo atakapopatikana..kwa hiyo bado yupo saana tu.Hata Putin na Mu7 wapo tu!
Kama Lissu! Ne?Maccm yanataka kushikishwa ukuta
Mtafanya nini bwashee?!Yote tumekubali lakini hili wasirogwe.
Na Mungu amchukue tu hakuna namna japo wote tutakufa ila hapana sio kwa mateso hayaKwa upumbavu, unafki na uoga wa watanzania kilichobaki ni kumuombea huyo "mungu" mtu Mungu baba wa mbinguni amchukue..
Kwa nguvu zetu hatuwezi maana ameshapata malaika waasi wa kumuabudu, kumlinda na kumtetea kila kona.
Mungu amuweke Mh rais ili Sisi watanzania tuzidi kuneemeka.Na
Na Mungu amchukue tu hakuna namna japo wote tutakufa ila hapana sio kwa mateso haya
Yaani tuseme kwa upande wangu mimi, hata hiyo miaka saba wanayotaka kumwongezea baada ya 2025 bado hainitoshi. Naomba tu niwe wazi katika hiliIna maana nchi hii tunataka kukifanya hatuna watu vichwa wa kuongoza ila Magufuli tu ndiye anaweza, vipi Mungu akiamua mipango yake?