Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Hili limeshapita mdogo mdogo tunataka watanzania muanze kuzoea hizi kelele tunampa Raid wetu Magufuli miaka mingine mitano inakuwa 15 nchi itakuwa imeshajitosheleza na tumemaliza kutimiza ahadi zetu hayo mambo ya demokrasia tuwaachie wazungu watanzania wanataka maji,umeme,afya bora na uchumi ulioimarika tukifika 2024 tutapiga kura za maoni na Nina uhakika tutashinda Magufuli 5 tena baada ya 2025
 
Kuna mambo mengine nikiyasikia huwa napata kichefuchefu, hivi malkia wa England anaunda serikali?
 
Sawa na chadema, wanahubiri demokrasia lakini hakuna wa kumwondoa mbowe.
 
Safu ya ushambuliaji na Ulinzi ishaanza kupangwa
 
Kupanga ni kuchagua! Yaani uende na kiongozi aliyepo nchini anaye simamia maendeleo yanayo onekana ambayo yatadumu karne nyingi au umuamini kinyago wa YouTube (Lissu/Lema)! Huyu wa YouTube unamuona anaongea - hujui anaongelea chooni alipochutama au yupo anafanywa nini na Amsterdam (maana unaona mara anatikisika na kushtuka ilivyo sivyo!)! Uchaguzi ni wako.
 
Hata Kagame, watu walivoandamana aongezewe muda akapinga kuwa hataki kurun third term. Tena kwny interviews na global media.

Then boom...towards 2015 km sikosei, katiba ikabadilishwa. Wakaounguza period ya urais frm 7yrs to 5 yrs, two terms. Ila wakasema endapo electorate ikideem fit, anaweza kuongeza term ya tatu.

Matokeo yake 2017 akarun term ya tatu. Na sasa wanajadili huko kuwa anaweza kwenda mpk 2034!!

Hakika tuko katika mapito makubwa kama taifa kwa sasa
 

Niko 100% na wewe kwenye msimamo wa kutokumuita Mzee Butiku takataka kwa sababu tu ya maoni yake hayo!

Sehemu ya hoja yako iliyobaki ina characteristics za popo, kiumbe ambaye huwezi kumpa label ya mnyama au label ya ndege akakubalika 100%. Kwa kifupi, inatuingiza wazima wazima kwenye political quagmire!
 
Museveni alianza hivo hivo pia.

Then baadae wakabadili katiba kuondoa term limit. Wao wakaweka umri kama kikomo. Mzee alihisi hatafika umri uko mbali sana


Mwaka 2017 wakagundua kuwa hata umri tulioweka limit umefika. Tunafanyaje? Zikaanza drama.

Ndio kipindi hiki Museveni akatembelea kanisa alilobatizwa na akadai kugundua eti kuwa umri wake ukikosewa. He was younger than stated kwenye vyeti.

Hii story naona haikueleweka. Wakaona cha kufia nini, wakabadili katiba tena 2017 na kuondoa umri kama kikwazo. Mara hii mpk watu walipigana bungeni. Lakini kama unavyoona hapa Tz, tayari Bunge, mahakama na taasisi zote zilikua mikononi mwa Museveni. Hivyo mabadiliko ya katiba yakapitishwa.Meaning that kwa sasa mzee anaweza kugombea maisha yake yote.

Na ndio maana juzi hapa kagombea tena na Bobi Wine. Katiba inamruhusu sasa.

My take: Another Mugabe in the making.
 
Kuna mazungumzo fulani hivi ya kiutu uzima, yenye nuance, yenye hesabu za juu, yenye uchambuzi wa mambo wa kina, yenye kuangaliaa first principles, yenye ku explore blind alleys zote kuanzia Aristotle mpaka Zuku Nation, yenye kuangalia facts...

Mazungumzo hayo watoto wadogo wasioweza kuumiza vichwa kufikiri kwa kina wakiyaona lazima wayakimbie na kusema habari za popo.

Hawawezi mjadala wenye nuance.
 

That’s a variant of analysis paralysis. I’d definitely not attempt to put myself on a road to nowhere![emoji3]

BTW, debate ya kuondoa term limit ya mwenyekiti kwenye katiba ya CHADEMA ilifanyikia wapi? Labda watu waifanyie marejeo hiyo kwanza ili itupe mwanga wa jinsi ya kuiendesha hii ya nchi!
 
Anampenda sana Magufuli.
Anamfananisha Magufuli na Malkia na Merkel!! Total trash!!!
 
Trash ni nani hapo? Merkel, Malkia au Mzee Butiku
Habari uliyoleta umemquote Nan.Na kwa misingi ya sarufi ya kiswahili hakuna mtu aliyeitwa trash hapo Bali hoja yenyewe.
Unafananishaje misingi ya tawala ya nchi km Ujerumani na Uingereza na mifumo yao solid ukaleta bongo kwa mwafrika.
 
Kuchambua facts kwa nuance ndiyo analysis paralysis?

Unaniuliza mimi habari za CHADEMA kwani mimi mwanachama wa CHADEMA?

Term limits ni nzuri kwa CHADEMA lakini kwa Magufuli ni mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…