Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome.
Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja.
Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili Taifa lwtu dhidi ya hawa mafisadi wanaofaidi kodi zetu huku sisi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma za msingi.
Kizazi cha leo sio kile kizazi mlichokuwa mnakilisha propaganda eti kuwaamisha kuwa Mageuzi yanaleta vita.
Waambiw waliokutuma kuwa wameshafeli.
Waambie waliokutuma kuwa tunajua kuna Wanajeshi wenye ndevu na kuna mavazi ya Jeshi ya poolneck kwenye Jeshi letu.
Kama mlikula keki ya Taifa na mnaendelea kumegewa keki ya Taifa na hawa mafisadi ni heri mkae kimya maana askari wetu wazalendo wako tayari kulikomboa Taifa lao mwaka huu kwa kushirikiana na Wananchi.
Hizi ni picha za askari wetu wenye ndevu na mavazi yao yenye nguo zinazofika shingoni
Tulia we kibabu.