Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

Tafuta ndege ya kutoroka Tanzania. Nakuhakikishia nchi inakombolewa kufikia tarehe 29 Oktoba.
Endelea kuota chunga usijinyee.Eti Nchi inakombolewa?Upo delusional na unahitaji matibabu ya haraka ya afya ya akili. Utapotea JF baada ya tarehe 29 October.
Wewe ni mgonjwa wa akili.
 
Nakwambia kweli kabisa.

Tafuta ndege ya kutoroka na familia yako.

Tuko serious zaidi ya unavyodhani
 
Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome.

Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja.

Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili Taifa lwtu dhidi ya hawa mafisadi wanaofaidi kodi zetu huku sisi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma za msingi.

Kizazi cha leo sio kile kizazi mlichokuwa mnakilisha propaganda eti kuwaamisha kuwa Mageuzi yanaleta vita.

Waambiw waliokutuma kuwa wameshafeli.

Waambie waliokutuma kuwa tunajua kuna Wanajeshi wenye ndevu na kuna mavazi ya Jeshi ya poolneck kwenye Jeshi letu.

Kama mlikula keki ya Taifa na mnaendelea kumegewa keki ya Taifa na hawa mafisadi ni heri mkae kimya maana askari wetu wazalendo wako tayari kulikomboa Taifa lao mwaka huu kwa kushirikiana na Wananchi.

Hizi ni picha za askari wetu wenye ndevu na mavazi yao yenye nguo zinazofika shingoni

Tulia we kibabu.
View attachment 3484044View attachment 3484045View attachment 3484046View attachment 3484047View attachment 3484049
Sasa si nyie makamanda uchwara mlikuwa mnamsifia mzee Butiku hapo awali, vipi tena?😂

Cc: Mimi Wewe Yule
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mzee wangu Butiku nini kimekusukuma uongelee ya capitaine Tesha?

Ona sasa unavyoshushwa hadhi na vijana.

Hii ngoma ni nzito waachiwe vijana wa uvccm wajibu. Wazee wenye heshima kaeni kimya mtiti bado mbichi, kama vipi someni upepo unavyovuma mtajibu baadaye ili hadhi zenu zibaki kama awali.
 
Mzee wangu Butiku nini kimekusukuma uongelee ya capitaine Tesha? ona sasa unavyoshushwa hadhi na vijana. Hii ngoma ni nzito waachiwe vijana wa uvccm wajibu, wazee wenye heshima kaeni kimya mtiti bado mbichi, kama vipi someni upepo unavyovuma mtajibu baadaye ili hadhi zenu zibaki kama awali.
Akae kimya asijishushie at least heshima tunayompaga.

Kujiunga kwenye kampeni tu za Samia kakosea sana. Mjamaa gani ana ambatana na Mafisadi???

Hii nchi ndo mana sasa tunataka Jeahi lichukue nchi na tuanze kuisuka upya.
 
huyu mzee ni qumaa tyuu, wazeee wa hivi wakikaribia kufa ndio wanataka kutuachia huu usenge? never mshale haurudi alani
Km vipi mzee afe kimya kimya asirupigie makelele mengi ya kizamanizamani zama zake zilishapitwa na wakati sasa ni zama za vijana waliopo leo yeye kijana wa zamani akae huko alee wajukuu asitafutekufa mapema kisukari kikipanda ghafla
 
Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome.

Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja.

Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili Taifa lwtu dhidi ya hawa mafisadi wanaofaidi kodi zetu huku sisi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma za msingi.

Kizazi cha leo sio kile kizazi mlichokuwa mnakilisha propaganda eti kuwaamisha kuwa Mageuzi yanaleta vita.

Waambiw waliokutuma kuwa wameshafeli.

Waambie waliokutuma kuwa tunajua kuna Wanajeshi wenye ndevu na kuna mavazi ya Jeshi ya poolneck kwenye Jeshi letu.

Kama mlikula keki ya Taifa na mnaendelea kumegewa keki ya Taifa na hawa mafisadi ni heri mkae kimya maana askari wetu wazalendo wako tayari kulikomboa Taifa lao mwaka huu kwa kushirikiana na Wananchi.

Hizi ni picha za askari wetu wenye ndevu na mavazi yao yenye nguo zinazofika shingoni

Tulia we kibabu.
View attachment 3484044View attachment 3484045View attachment 3484046View attachment 3484047View attachment 3484049
Wewe nyumbu huna uwezo wa kufanya lolote hapa TZ. Utapata kichapo halafu wenzako waanze kulialia kwenye mitandao. Juzi tu ulikuwa unawatukana watz kuwa ni waoga eti leo tena unawategemea kwenye ujinga wako.
 
Wewe kama nani?
 
Akukome wewe na nani?
Wewe kama nani umkomeshe Mzee Butiku?
Hii michadema kingese tu, yenyewe inataka Kila mtu awe fala kama wao. Yaani asitoe mawazo yake kisa wangese nyie?!!! Mbona anaongea Kila siku kumponda Samia mnampongeza. Hii michadema kuambiwa ukweli haitaji. Nchi ipo imara hii na hakuna kima yoyote atakayeleta fyoko. Jeshi lipo imara kulinda katiba.
 
CCM wamedata 100%

baada ya Capt Tesha kuzungumza waliibuka na kusema ile ni AI, na wakasema video ile ya Tesha ni uongo mtupu ni ya kutengenezwa hakuna mtu kama huyo

Baadaye wakaona kwamba Capt Tesha anajulikana na sasa kusema ni fake sio rahisi, wakabadilisha na kusema ni mlevi ameshafukuzwa Jeshini, Ukatolewa ushahidi hapa jamaa yuko jeshini ni Active kazini

Mkakimbilia Jeshi kwa kutumia mlinzi wa Magufuli ambaye kwenye maneno ya Tesha anasema Magufuli aliuwawa, sasa inakuwaje anayekuja kujibu Tuhuma kutoka Jeshini ni yule aliyetakiwa kulinda maisha ya Magufuli?

sasa tuambieni, Capt Tesha ni AI, au Mlevi au Video ni fake
kisha mtuambie kwa nini Jeshi linabishana na video ya bandia?
watu wa Samia uwa sifa yao kubwa ni hawana AKILI, ni kama vile Samia awezi chagua mtu mwenye akili kufanya naye kazi, anadili na watu wajinga wajinga tupu.

NO REFORMS NO ELECTIONS.

#kataaWAHUNI
#octobahatutiki
#oktobatunatoka
#sirininamba
#tupowengi
#WenyeNchiWananchi
#TUTAKUWEPO
#Tutaelewanatu

HUYU HAPA
 
Wewe nyumbu huna uwezo wa kufanya lolote hapa TZ. Utapata kichapo halafu wenzako waanze kulialia kwenye mitandao. Juzi tu ulikuwa unawatukana watz kuwa ni waoga eti leo tena unawategemea kwenye ujinga wako.
Ushauri tu

Andaeni kabisa ndege za kuwatorosha Tanzania na familia zenu
 
Hii michadema kingese tu, yenyewe inataka Kila mtu awe fala kama wao. Yaani asitoe mawazo yake kisa wangese nyie?!!! Mbona anaongea Kila siku kumponda Samia mnampongeza. Hii michadema kuambiwa ukweli haitaji. Nchi ipo imara hii na hakuna kima yoyote atakayeleta fyoko. Jeshi lipo imara kulinda katiba.
Ushauri upo pale pale

Andaeni ndege za kuwatorosha nyie na familia zenu mafisadi nyie
 
Back
Top Bottom