Fanya leo mbona unasubiri mpaka tarehe 29? Wewe nyumbu tunasikia umeshatoroka nchi.Ushauri tu
Andaeni kabisa ndege za kuwatorosha Tanzania na familia zenu
Fanya leo mbona unasubiri mpaka tarehe 29? Wewe nyumbu tunasikia umeshatoroka nchi.Ushauri tu
Andaeni kabisa ndege za kuwatorosha Tanzania na familia zenu
Kama sehemu ya Watanzania wazalendo tunaolioenda Taifa letu ambao tupo wengi sanaWewe kama nani?
Mpo wengi na nani wakati mmeshakimbia nchi.Kama sehemu ya Watanzania wazalendo tunaolioenda Taifa letu ambao tupo wengi sana
Tumekimbiaje nchi?Mpo wengi na nani wakati mmeshakimbia nchi.
Sawa.Ushauri upo pale pale
Andaeni ndege za kuwatorosha nyie na familia zenu mafisadi nyie
Hapo umeharibu maana hujafanya sensa au surveyKama sehemu ya Watanzania wazalendo tunaolioenda Taifa letu ambao tupo wengi sana
Huyo Maria Sarungi anaropoka tu.Hayupo Tanzania bali yupo Kenya ni keyboard warrior wa uchochezi.Hivyo mpuuze tu hana la maana.Hapo umeharibu maana hujafanya sensa au survey
Umeanza kunifahamu leo sio?Huyo Maria Sarungi anaropoka tu.Hayupo Tanzania bali yupo Kenya ni keyboard warrior wa uchochezi.Hivyo mpuuze tu hana la maana.
Masiha maana yake nini?Unasifiwa kwa kile unachofanya au kusema,ukizingua unazinguliwa tu,sisi hatusifii mtu kama machawaEh huyu c mlikuwa mnamsifia na kumuona ni Masiha, vp imekuwaje Tena?
Huyo Lisu wako anaendelea kunyea ndoo mbona huendi kumtoa mahabusu? Acha maneno ya kishujaa huku umejificha chini ya kitanda, ha ha ha😁Ushauri upo pale pale
Andaeni ndege za kuwatorosha nyie na familia zenu mafisadi nyie
Hatma ya mambo ya fitna huwa ndio hivi! Mzee Butiku kafanya jambo sahihi! kujitenga na fitna...ukweli uko wazi, jitenge na chuki na fitna walizo puuliza hao mashujaa feki utaona ukweli ulio msukuma Mzee Butiku kujitenga na ujinga.Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome.
Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja.
Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili Taifa lwtu dhidi ya hawa mafisadi wanaofaidi kodi zetu huku sisi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma za msingi.
Kizazi cha leo sio kile kizazi mlichokuwa mnakilisha propaganda eti kuwaamisha kuwa Mageuzi yanaleta vita.
Waambiw waliokutuma kuwa wameshafeli.
Waambie waliokutuma kuwa tunajua kuna Wanajeshi wenye ndevu na kuna mavazi ya Jeshi ya poolneck kwenye Jeshi letu.
Kama mlikula keki ya Taifa na mnaendelea kumegewa keki ya Taifa na hawa mafisadi ni heri mkae kimya maana askari wetu wazalendo wako tayari kulikomboa Taifa lao mwaka huu kwa kushirikiana na Wananchi.
Hizi ni picha za askari wetu wenye ndevu na mavazi yao yenye nguo zinazofika shingoni
Tulia we kibabu.
View attachment 3484044View attachment 3484045View attachment 3484046View attachment 3484047View attachment 3484049
Mie ushauri wangu ni ule ule. Tafuteni ndege za kuwatorosha na familia zenu kabla ya tarehe 29 oktoba maana hamtaamini namna Wananchi tutakavyolikomboa Taifa letu na kuwashughulikia.Huyo Lisu wako anaendelea kunyea ndoo mbona huendi kumtoa mahabusu? Acha maneno ya kishujaa huku umejificha chini ya kitanda, ha ha ha😁
Cc: Mimi Wewe Yule
Hakuna cha ndege wala nini. Kwanza nenda kamtoe chiba anayenyea ndoo mahabusu.Mie ushauri wangu ni ule ule. Tafuteni ndege za kuwatorosha na familia zenu kabla ya tarehe 29 oktoba maana hamtaamini namna Wananchi tutakavyolikomboa Taifa letu na kuwashughulikia.
Endelea tu kushupaza shingo
Na wewe endelea kujifanya shujaa huku umejificha uvunguni😎Endelea tu kushupaza shingo
Nimejificha uvunguni wapi?