Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

Waacheni watoe yaliyo mioyoni mwao ili tujue yapi ni mafuta na yapi ni maji
 
Huyu mzee ni yuda amemuuza polepole
Sahihi kabisa. Kamuuza kwa vipande vya fedha.

Yupo kwenye payrol ya kina Abdul sasahivi anahangaika kwenye kampeni za CCM kumtengenezea legitimacy hewa muuaji na mtekaji Samia
 
Huyu Mzee heshima yake yote katika taifa letu inakwenda kuporomoka kabisa kama itathibitika kashiriki kumchoma Polepole, kasaliti wapigania HAKI wa Taifa letu
 
Back
Top Bottom