Mzee Butiku utukome. Ni heri ukae kimya kujitunzia heshima yako kuliko kukubali kufanya Upotoshaji

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
Tunakuomba sana Mzee Butiku utukome.

Mlishindwa kuwadhibiti Mafisadi na sasa wamewameza hadi nyie huku wakiharibu maisha yetu sisi Watanzania wengi na vizazi vyetu vinavyokuja.

Tunakuomba acha kutumika kufanya propaganda na upotoshaji. Watanzania tuko very serious mwaka huu kulikomboa hili Taifa lwtu dhidi ya hawa mafisadi wanaofaidi kodi zetu huku sisi tukiishi maisha magumu na kukosa huduma za msingi.

Kizazi cha leo sio kile kizazi mlichokuwa mnakilisha propaganda eti kuwaamisha kuwa Mageuzi yanaleta vita.

Waambiw waliokutuma kuwa wameshafeli.

Waambie waliokutuma kuwa tunajua kuna Wanajeshi wenye ndevu na kuna mavazi ya Jeshi ya poolneck kwenye Jeshi letu.

Kama mlikula keki ya Taifa na mnaendelea kumegewa keki ya Taifa na hawa mafisadi ni heri mkae kimya maana askari wetu wazalendo wako tayari kulikomboa Taifa lao mwaka huu kwa kushirikiana na Wananchi.

Hizi ni picha za askari wetu wenye ndevu na mavazi yao yenye nguo zinazofika shingoni

Tulia we kibabu.
 
wazeee wa hivi wakikaribia kufa ndio wanataka kutuachia huu usenge? never mshale haurudi alani
 
huyu mzee ni qumaa tyuu, wazeee wa hivi wakikaribia kufa ndio wanataka kutuachia huu usenge? never mshale haurudi alani
Huyu mzee anadhani watanzania tunatania sasahivi.

Tuko serious kulikomboa hili Taifa kuhakikisha keki ya Taifa inamfikia na kumnufaisha kila mwananchi sio kikundi cha watu wachache Wanasiasa na Viongozi.
 
Huyu mzee anadhani watanzania tunatania sasahivi.

Tuko serious kulikomboa hili Taifa kuhakikisha keki ya Taifa inamfikia na kumnufaisha kila mwananchi sio kikundi cha watu wachache Wanasiasa na Viongozi.
huyu mzee qache kuingizwa mkenge na huyo bibi bomba, bibi bomba qmeona mambo yamemchachia qnaanza kuwatafuta hawa wazee?? wazee tulieni qcheni wenge
 
Akukome wewe na nani?
Wewe kama nani umkomeshe Mzee Butiku?
 
Reactions: Tui
Eh huyu c mlikuwa mnamsifia na kumuona ni Masiha, vp imekuwaje Tena?
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…