TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

Alikuwa mtu mzito na sehemu ya waasisi wa taifa aka “establishment”.

Ila Mwaka 1982 mwamba mmoja aitwae Memba na wenziwe kadhaa waliiteka ndege ya ATC (Air Tanzania Corporation) alokuwamo mzee Msuya wakati huo akiwa waziri mkuu.

Enzi zile miaka ya 80s kulikuwa na sarakasi nyingii kwenye viwambaza vya utawala wa Hayati Mwalimu.
 
Wanaanzaga hivi hivi.Pole kw wafiwa wote.
 
Kwahiyo siku 7 hakuna kwenda kazini?
 
Nenda kwa amani Baba. hakika ulikuwa Mzalendo sana
 
RIP mzee wetu tunayetoka kata moja ya Usangi hakika umeacha legacy katika taifa.
 
..anaitwa Cleopa David Msuya.

..Mama Abduli kachapia jina la marehemu wakati akitangaza msiba.

..Cleopa Msuya alikuwa Waziri Mkuu kipindi cha Mwalimu Nyerere.

..halafu Waziri Mkuu na Makamu wa kwanza wa Raisi kipindi cha Mzee Sihaba Nzasa Ally Hassan Mwinyi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…