TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Unaongea tu, unless awe baba ambaye hajafanya lolote katika maisha yako. Ila kama ana mchango mkubwa kwako utazika tena kwa kukodi gari la maiti lile la 1M.
 
Kabisa aisee poor woman mzee ametoka hai bukheri wa afya anarudi maiti doh... aibu juu ya msiba, na binti atajuta yaani huu msala sio wa kitoto hata kidogo tamaa zimemwingiza matatizoni

It’s really sad kwa mkewe na family! Mwendazake hayupo kuiface jamii na hukumu zake but the wife and family will forever live with a dark shadow lurking in their midst kisa tu Mzee alitaka starehe ya dakika 10!
 
Baba mtoto msumari kweli yani, hio chuma ya Vieite ndio ulimbo wao, hapo uongei mengi. Unashusha kioo na kukunja kidole cha shahada tu,,,unaskia mimi? eeh wewe njoo upande nikusogeze kidogo.

Wewe jamaa upo charming sana, nimecheka kinouma nouma eti unakunja kidole cha shahada tu [emoji23][emoji23][emoji23] unaskia mimi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wewe jamaa upo charming sana, nimecheka kinouma nouma eti unakunja kidole cha shahada tu [emoji23][emoji23][emoji23] unaskia mimi? [emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahah ukiwa na v8 hutumii nguvu
 
Haya mambo ya kulala na mtu ( ambae sio mke/ mume wako mpaka asubuhi mizinguo kweli
 
Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele.

Lipo la kujifunza kwa vijana haiwezekani mdada mzuri namna hiyo kimuonekano kuwa na mahusiano na mzee wa miaka 80 huku vijana mumejaa tele. Teh.
Vijana hawana pesa.
 
Hili ni fundisho kwa dada zetu wakome kutembea na wazee a.k.a shikamoo jazi kwa mwendo huu watapewa sana kesi za mauaji ni bora wakomae na vijana tu wazee wa kusimamia ukucha malipo malipo buku teni
[emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo binti anaonekana wa kishua, imekuwaje akubali kuliwa na mzee umri wa Babu yake. Kwa ahadi y’a elfu thelathini tu??.
Now days mademu wa kishua wanaongoza kudanga kuliko Hawa wa buza...

Kingine huyo mzee nahisi hiyo papuchi alikuwa anaipiga frequently.. na sheria inasema Kama una mke afu una kimada ambae ushamwambia umeoa kama Mara ya kwanza ulipiga kwa 300k, Mara ya pili inaweza kuwa 200k na jinsi mnavyozidi zoeana ndivyo hela inazidi pungua huwa inafikia kipindi unakula Hadi mzgo kwa mkopo
 
Na hapo ndio umegusa penyewe. Every action has a consequence hilo ndio lakutambua.

So msiseme tunawakandia kuwa ni used guds...hayo ni matokeo ya matendo yao so they should deal with it.

“Matokeo ya matendo yao”.......wanajifanya wenyewe sio?!?

The immorality of Men triumphs over the amorality of women! You can’t use them and abuse them at the same time, learn to stick to your morals!
 
Kabisa aisee poor woman mzee ametoka hai bukheri wa afya anarudi maiti doh... aibu juu ya msiba, na binti atajuta yaani huu msala sio wa kitoto hata kidogo tamaa zimemwingiza matatizoni
Watamfanyaje kwani? Babu si kajifia?
 
Acheni kupotosha..Vumbi la Kongo haliwezi kuwa mbadala wa Viagra kwa wazee..Sildenafil zinapunguza pressure kwa kufanya mirija ya dushe kutanuka na kujaa damu vizuri..i.e inasaidia mwanaume adindishe vizuri na kwa muda mrefu kwa wenye tatizo la erectile dysfunction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…