Inaoneka unaueleo mdogo sana kwenye swala la vyeo vya kisiasa na vyeo vya kiserikali. Balozi sio cheo cha kisiasa, mtu wa chama chochote anaweza kuwa balozi kama ana sifa. Slaa hana kadi ya chama chochote toka atoke CDM.mkuu upo sawa !! napata wasiwasi mkubwa.
Kwenye katiba ya CHADEMA watu wenye Damu ya CHADEMA na wasiokuwa na damu ya CHADEMA wanatambuliwaje? au ni hisia tu.Nope,si suala la kumpa mtu yeyote hata asiejulukana uenyekiti,after all hakuna mtu kazuiwa.
Chadema in watu wenye capacity ya kumrithi mbowe,watu Kama Henche,mnyika Tundu Lissu,halima etc.
Watu wenye damu ya chadema,SI mtu anakuja wiki hii,anataka awe mgombea pekee was uenyekiti
Sumaye is not serious
...habadilishwi, na hicho kichefuchefu ulichonacho mpaka ujifungue!
Bora kuwa malaya wa kanda ya ziwa kuliko kuwa mtumwa wa Mbowe,Wallah.
....haya maneno sijui kama wavulana mnajua maana yake!, au mnadandia tu...km mlivyozoea."Leo natangaza kuwa hiyo safari ya kugombea uenyekiti wa ngazi ya taifa naisitisha leo, kwa usalama wangu na familia kwa ujumla na Mbowe aliwahi kunitahadharisha kuwa sumu haionjwi kwa ulimi namimi sitaki kuionja" - Frederick Sumaye
Kufanya mipango hadi uwe mwenyekiti.Swali zuri lakini wangepewa muda wafanye mipango yao ndani kwa ndani sasa kama hata vyeo wananyimwa wafanyeje? Lazima ukae huko kimukakati .
Una habari kuwa uenyekiti wa chama taifa ndani ya CHADEMA ni cheo kikubwa zaidi ya ugombea urais?Una Habari kuwa Lowasa alipewa kugombea urais ndani ya siku tatu za kuhamia chamani?
....hao wabunge sio, hamna kitu hapo, wenyewe hawana raha na nafsi zao, wanaangaliwa tu, wajikaange kwa mafuta yao wenyewe!Hii cha mtoto ...kuna heavyweight boom inakuja! Kuna kagenge kanafikiri kanailinda Chadema kumbe ndio wanaitokomeza.
Very soon ACT ndio kinakuwa chama kikuu cha upinzani! All prominent politicians wanaenda kuungana na Zitto baada ya Mbowe kugomea mabadiliko. Mbowe anaenda kufunzwa siasa na Zitto [emoji41][emoji41]
Wamfukuzie mbali huyo pandikizi la CCMKumbe alifuata uenyekiti was chadema.....?!!!!
Yaani watu waanzishe chama wakijenge kwa jasho na damu,wewe uje tu,Bado mgeni,hujaaminika na hawajui pengine wewe ni plant on a mission,wakupe uenyekiti kirahisi tu....?.
Who does he think is he?
Kwa gharama yeyote?,!!!,mi nashauri labda bilioni tano tano tu,Kama hawataki basi
Da Hoja yako ina nguvu sana Aisee.Big Up mazee.Kama aliweza kuvumilia kupunguziwa stahili zake, familia yake kupata mateso, kunyang'anywa mashamba nk ameshindwa kuvumilia kukosa uenyekiti, ukimpima maelezo yake huyu hakuwa na nia njema na ameionyesha mapema sana angetulia kidogo asiseme angeweza kuaminika
Katiba ya chadema ndiyo inasema hiki ulichokiandika?Nope,si suala la kumpa mtu yeyote hata asiejulukana uenyekiti,after all hakuna mtu kazuiwa.
Chadema in watu wenye capacity ya kumrithi mbowe,watu Kama Henche,mnyika Tundu Lissu,halima etc.
Watu wenye damu ya chadema,SI mtu anakuja wiki hii,anataka awe mgombea pekee was uenyekiti
Sumaye is not serious
[emoji23][emoji23][emoji23] noma sanaTETESI;
Secretariate ya Halmashauri kuu ya CCM kukutana kwa dharula Leo hii kujadili kujitoa kwa Sumaye kugombea uenyekiti na chama.
Hili limeonekana ni pigo kubwa la kufungia mwaka kwa CCM.
Swali;
Kwa nini ajitoe Chadema maumivu yawe kwa ccm?
Huo ni msemo wa KISWAHILI tu,ni kama vile kusema nyani haoni kundule,sio tusi.Tafasiri na upotoshaji.Sumaye anasema "Eti mbowe aliwaambia sumu haionjwi kwa mdomo huko Arusha"
Hata wajukuu watakuwa wanamshangaa huyu babu anataka nini tena?
upo sahihiKwa wakati wanaoupitia wapinzani sioni mtu jasiri anayeweza kubeba mikoba ya mbowe pale CHADEMA.