Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

mkuu upo sawa !! napata wasiwasi mkubwa.
Inaoneka unaueleo mdogo sana kwenye swala la vyeo vya kisiasa na vyeo vya kiserikali. Balozi sio cheo cha kisiasa, mtu wa chama chochote anaweza kuwa balozi kama ana sifa. Slaa hana kadi ya chama chochote toka atoke CDM.
 
Nope,si suala la kumpa mtu yeyote hata asiejulukana uenyekiti,after all hakuna mtu kazuiwa.
Chadema in watu wenye capacity ya kumrithi mbowe,watu Kama Henche,mnyika Tundu Lissu,halima etc.
Watu wenye damu ya chadema,SI mtu anakuja wiki hii,anataka awe mgombea pekee was uenyekiti
Sumaye is not serious
Kwenye katiba ya CHADEMA watu wenye Damu ya CHADEMA na wasiokuwa na damu ya CHADEMA wanatambuliwaje? au ni hisia tu.
 
Bora kuwa malaya wa kanda ya ziwa kuliko kuwa mtumwa wa Mbowe,Wallah.

👇
IMG-20191204-WA0009.jpg
 
"Leo natangaza kuwa hiyo safari ya kugombea uenyekiti wa ngazi ya taifa naisitisha leo, kwa usalama wangu na familia kwa ujumla na Mbowe aliwahi kunitahadharisha kuwa sumu haionjwi kwa ulimi namimi sitaki kuionja" - Frederick Sumaye
....haya maneno sijui kama wavulana mnajua maana yake!, au mnadandia tu...km mlivyozoea.
 
Swali zuri lakini wangepewa muda wafanye mipango yao ndani kwa ndani sasa kama hata vyeo wananyimwa wafanyeje? Lazima ukae huko kimukakati .
Kufanya mipango hadi uwe mwenyekiti.
 
Una Habari kuwa Lowasa alipewa kugombea urais ndani ya siku tatu za kuhamia chamani?
Una habari kuwa uenyekiti wa chama taifa ndani ya CHADEMA ni cheo kikubwa zaidi ya ugombea urais?

Ni simple sana..at that time Lowasa alikuwa ni mtaji wa kisiasa...yaliyotokea CCM dhidi yalikuwa ni mtaji kwa CHADEMA..wamemtumia hawakufanikiwa, na hawakumpa cheo chochote chamani.. This is politics my nigga..It's real and unreal..

Ni sawa leo Kubenea ahamie CCM halafu baada ya mwaka mmoja tumuone anagombea uenyekiti wa CCM taifa..watamtia risasi mk*nd*ni
 
Sumaye abanwa kwa maswali magumu ya waandishi wa habari



Source: ABC Habari
 
Hii cha mtoto ...kuna heavyweight boom inakuja! Kuna kagenge kanafikiri kanailinda Chadema kumbe ndio wanaitokomeza.

Very soon ACT ndio kinakuwa chama kikuu cha upinzani! All prominent politicians wanaenda kuungana na Zitto baada ya Mbowe kugomea mabadiliko. Mbowe anaenda kufunzwa siasa na Zitto [emoji41][emoji41]
....hao wabunge sio, hamna kitu hapo, wenyewe hawana raha na nafsi zao, wanaangaliwa tu, wajikaange kwa mafuta yao wenyewe!
 
Kumbe alifuata uenyekiti was chadema.....?!!!!
Yaani watu waanzishe chama wakijenge kwa jasho na damu,wewe uje tu,Bado mgeni,hujaaminika na hawajui pengine wewe ni plant on a mission,wakupe uenyekiti kirahisi tu....?.
Who does he think is he?
Wamfukuzie mbali huyo pandikizi la CCM
 
Sumaye anasema "Eti mbowe aliwaambia sumu haionjwi kwa ulimi huko Arusha"

Hata wajukuu watakuwa wanamshangaa huyu babu anataka nini tena?
 
Kama aliweza kuvumilia kupunguziwa stahili zake, familia yake kupata mateso, kunyang'anywa mashamba nk ameshindwa kuvumilia kukosa uenyekiti, ukimpima maelezo yake huyu hakuwa na nia njema na ameionyesha mapema sana angetulia kidogo asiseme angeweza kuaminika
Da Hoja yako ina nguvu sana Aisee.Big Up mazee.
 
Mzee Sumaye Nakutakia Mapumziko Mema Mimi Nilikwambia Tulipo kutana Dar Nafasi Ya Mbowe CHADEMA haiguswi kabisa pole sana kwa yaliyokukuta
 
Nope,si suala la kumpa mtu yeyote hata asiejulukana uenyekiti,after all hakuna mtu kazuiwa.
Chadema in watu wenye capacity ya kumrithi mbowe,watu Kama Henche,mnyika Tundu Lissu,halima etc.
Watu wenye damu ya chadema,SI mtu anakuja wiki hii,anataka awe mgombea pekee was uenyekiti
Sumaye is not serious
Katiba ya chadema ndiyo inasema hiki ulichokiandika?

Mnaoishi mjini kwa kulamba viatu vya Mbowe acheni ujinga.
 
TETESI;
Secretariate ya Halmashauri kuu ya CCM kukutana kwa dharula Leo hii kujadili kujitoa kwa Sumaye kugombea uenyekiti na chama.
Hili limeonekana ni pigo kubwa la kufungia mwaka kwa CCM.
Swali;
Kwa nini ajitoe Chadema maumivu yawe kwa ccm?
[emoji23][emoji23][emoji23] noma sana
 
Sumaye anasema "Eti mbowe aliwaambia sumu haionjwi kwa mdomo huko Arusha"

Hata wajukuu watakuwa wanamshangaa huyu babu anataka nini tena?
Huo ni msemo wa KISWAHILI tu,ni kama vile kusema nyani haoni kundule,sio tusi.Tafasiri na upotoshaji.
 
Back
Top Bottom