Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Amestaafu na kubakia mzee wa heshima tu na mshauri. Na amesema yuko tayari kushauri chama chochote including chadema. Anasema bado anaipenda CHADEMA.

Kwa ujumla amefanya kama marehemu Kingunge alivyofanya
 
Sasa alikuwa hajui kama ndani ya Chadema hakuna demokrasia ? Kwani Lowassa aliwekwa vipi kuwa mgombea Urais Chadema ? Chadema hakuna demokrasia wala maendeleo.
Sumaye kamwanga manyanga mwenyewe kugombea Uenyekiti.Kaogopa kumfuata Chacha Wangwe kaburini. Mbowe ni dictator.
Subiria matusi,umezungumza ukweli mchungu.
Sumaye kaondoka Chadema. Hajiungi na chama chochote cha siasa.
Sumaye lazima atarudi CCM dada yangu,kwani kwenye siasa hamna adui wa kudumu.
 
Back
Top Bottom