Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Wapi sasa kwenye uafadhali, mbona wanasiasa wanazidi kutuchanganya?
 
Anasema 2015 alihamia upinzani baada ya kukatwa jina na makuwadi wa chama cha kijani.
 
Roving Journalist,
Alafu wana CHADEMA wanakaa kwenye mitandao na kumkosea heshima JPM eti ni dikiteta??? Ama kweli nyani haoni kundule!!!! Kumbe dikiteta namba wani ni Mbowe! Watanzania waliona mbali wakakinyima kura uchaguzi 2015! Magufuli oyeeeeeeee!!! Oyeeeeeee! Magufuli safiiiiiiiii????? Safiiiiiii! Hahhhahah! Asante sana na Mungu awabariki
 
Viva CDM, headline magazeti na stori kubwa ni uchaguzi CDM. Kuna mtu anateseka alitaraji sherehe za uhuru 58; Headline zingekuwa STD gauge, Vituo vya afya, bajeti ya dawa,Miradi maji umeme. Hizo ni huduma muhimu za jamii.Kubwa zaidi kwa watu ni ustawi wa mifumo, mifumo imara kwa control checks and balance. Kuwa na chama imara cha upinzani kama CDM ni pumzi muhimu kwa taifa.
 
Mission accomplished.Intel ishapekuwa vya kutosha na kuvuruga.
 
Back
Top Bottom