Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

“Mbowe aliwahi kutupa nasaha kuwa tusiionje sumu kwa kuilamba, na mimi siwezi kuigusa sumu kwa kuilamba leo natangaza rasmi kuwa sitoendelea kugombea kwenye nafasi ya Uenyekiti Taifa CHADEMA.” - Frederick Sumaye.
 
Kumbe alifuata uenyekiti was chadema.....?!!!!
Yaani watu waanzishe chama wakijenge kwa jasho na damu,wewe uje tu,Bado mgeni,hujaaminika na hawajui pengine wewe ni plant on a mission,wakupe uenyekiti kirahisi tu....?.
Who does he think is he?
Hata kwenye dini yetu ya kiislamu huwezi kusilimi papohapo tukakupa kua Imamu wetu.......angevuta subira
 
Hivi kwanini Mbowe kushindwa kwenye uenyekiti ndio itafsiriwe kuwa demokrasia, lakini yeye kukubalika kuwa mwenyekiti inatafsiriwa hakuna demokrasia?

Kwa upande wangu mimi, naona kinachomponza Sumaye na watu wa aina yake ni yale yaliyofanywa na Lowasa. Unaweza vipi kumuamini mtu kama Sumaye, wakati hata mwaka haujapita Lowasa kafanya yale aliyoyafanya.

Kinachowasumbua CHADEMA kwa sasa ni nani wa kumwamini, kwao ni bora kurudisha sura zile zile za miaka yote, kuliko kuleta sura mpya (tena kwenye nafasi ya uenyekiti taifa) ambayo baada ya mwaka "inarudi nyumbani" na siri zote za chama

Kingine, CCM ndio wapiga kampeni wakubwa wa Mbowe. Kwa kipimo kile kile cha kutaka Mbowe asiwe mwenyekiti, ni kwa uzito huo huo Wanachadema wanasema Mbowe awe mwenyekiti
 
Kazi ameshaimaliza na kumbukeni tu naelekea 2020
 
Kijana umezaliwa juzi nini.
Wakati akiwa PM alikuwa anaitwa Mr ziro.
Sawa nimezaliwa juzi naomba ufafanuzi yafuatayo:

Mr Ziro ndio jina lake alikuwa anatumia kipindi cha waziri mkuu? na katika kumbukumbu zangu za utoto wa juzi kama ulivyojibu hapo sikuwahi kusikia popote pale kwamba Tanzania ilishawahi kuwa na PM anaitwa Mr Ziro.
 
Kazi ipo
IMG-20191204-WA0008.jpeg
 
Huyu mzee yuko sahihi

Shida ya vijana wa chadema wanaendeshwa na mihemko

They are not critical thinker... Ni kubwabwaja bwabwaja tu kama walevi fulani

Nishawaambia humu ndani mimi sina chama lakini ni mwananchi mzalendo ntaongea ukweli popote na sehemu yeyote

Acheni mambo za kitoto bhana watz wote wanawaangalia nyie hafu nyie ndo mnafanya mambo ya darasa la kwanza

Stupid!!.
 
Roving Journalist,

Kama kweli Chadema ilitaka afeli kwanza kugombea pekee yake isingekuwepo to begin with!

Angewekwa mtu ili achukue yeye maana kurudia uchaguzi Sumaye pia ana haki ya kurudia!

This does not make sense!

Figisu zinaweza kuwepo ila kwanini waweka figusi hawakuweka mtu wao basi!?

Pamoja na hayo,Sumaye sio mtu wa ku-trust kabisa...Mimi binafsi nisingempa kura,namuona kama pandikizi vile!

Unajua sanduku likiongea sababu zitatafutwa hata chini ya choo ilimradi tu
 
Wakati anaondoka Chadema alitoa hoja zake nyingi sana, lakini kubwa ni ile ya kupinga kumpokea Lowassa na Sumaye ambaye kwa maoni yake alisema Sumaye hana "tija" yoyote kuhamia CHADEMA. Naam Dr.Slaa was absolutely right.
 
Kumbe alifuata uenyekiti was chadema.....?!!!!
Yaani watu waanzishe chama wakijenge kwa jasho na damu,wewe uje tu,Bado mgeni,hujaaminika na hawajui pengine wewe ni plant on a mission,wakupe uenyekiti kirahisi tu....?.
Who does he think is he?
Hivi Lowasa nae mlimpima?
 
Ila alichofanyiwa CHADEMA hakikuwa sahihi, pamoja na madhaifu yake kama alikuwa hatakiwi aenge elezwa tuu na si kudhalilishwa namna ile, ni kweli CDM tuna hasira kweli kweli na 'dola' lakini haikuwa sahihi kumbwagia hasira zetu Sumaye.
Hivi nyinyi mnawaza vipi?
Huyu jamaa, alitengenezewa mazingira ya kushinda kirahisi. Kafanywa mgombea pekee. Wapiga kura wamemkataa. Mlitaka uongozi kama Chama ufanyeje?
Ajitafakari yeye mwenyewe! Ajione yeye ni MBUZI kwenye kundi la KONDOO.
 
Back
Top Bottom