AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,047
Masalia yote yatajitenga, CHADEMA mpya itazaliwa rasmi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikujua Mbowe na cabinet yake wanatisha kiasi hiki cha kumtisha waziri mkuu mstaafu mwenye ulinzi wa bodyguard toka serikalini ambae ana mafunzo ya hali ya juu ya ulinzi na usalama.Mbowe, hao watu wa kabinet yako, wanakudanganya.
Nasitisha rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti. Kwa Usalama wangu. Tulipokuwa Arusha alituambia Sumu haionjwi kwa kuilamba nami sitaki kuilamba.
Huenda ndo mwanzo wa kurudi nyumbaniNatamani kusikia anarudi nyumbani akaungane na Lowasa.
Kwenye uchaguzi si kuna ndio na hapana?ila alicho fanyiwa CDM hakikuwa sahihi, pamoja na madhaifu yake kama alikuwa hatakiwi aenge elezwa tuu na si kudhalilishwa namna ile, ni kweli CDM tuna hasira kweli kweli na 'dola' lakini haikuwa sahihi kumbwagia hasira zetu sumaye