Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mafioso
1575448611028.png
 
Si nipite tu. eti? Hahahaaaaaa, nilipowajuza chama chenu kipo ndani ya futi sita.. na kwamba ni cha familia. mlikuwa munasema ati mimi sijui nami na chama. Haya wafata upepo mupo?🤣🤣🤣. Pole Sumaye, muwe munajifunza kuwa hatua tano mbele, nyinyi humu mashabiki maandishi poleni pia.
 
 
LIVE: SUMAYE ANAULIZWA MASWALI NA WAANDISHI MUDA HUU​

Waziri Mkuu Mstaafu ambaye pia ni kada wa Chadema, Fredrick Sumaye, leo Desemba 04, ameitisha mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia masuala mbalimbali ya kisiasa..

 
Namwona kama ana amani sana baada ya kutua mzigo huo. Uamuzi wa busara sana amefanya.
 
Hata CCM walikukata nafasi ya urais, CHADEMA wamekukataa Kanda awamu ya pili unaondoka, nadhani itakuwa vyema ulivyoamua kumpunzika itakuwa bora ingawa wanasiasa huwa hawaachi wala kususa
 
Kwa hali ilivyo sasa, hiki ni kitetemeko' kidoogo cha ardhi kwenye kingo za bonde la ufa ...ambacho kinatukumbusha tu kuwa eneo tunaloishi liko vulnerable na tabia hii ya miamba!😀 😀 😀...kapumzike Mzee Sumaye ...umetoa mchango wako !
Nasubiri kwa hamu kama utachukua uamuzi wa mbaya utakao kuchafua milele.... wa kuingia kwenye Timu ya kuabudu!
Kwa msimamo wako siamini kama umesahau mateso ya watesi wako !
 
Mbowe, hao watu wa kabinet yako, wanakudanganya.

Nasitisha rasmi kugombea nafasi ya Uenyekiti. Kwa Usalama wangu. Tulipokuwa Arusha alituambia Sumu haionjwi kwa kuilamba nami sitaki kuilamba.
Sikujua Mbowe na cabinet yake wanatisha kiasi hiki cha kumtisha waziri mkuu mstaafu mwenye ulinzi wa bodyguard toka serikalini ambae ana mafunzo ya hali ya juu ya ulinzi na usalama.
 
ila alicho fanyiwa CDM hakikuwa sahihi, pamoja na madhaifu yake kama alikuwa hatakiwi aenge elezwa tuu na si kudhalilishwa namna ile, ni kweli CDM tuna hasira kweli kweli na 'dola' lakini haikuwa sahihi kumbwagia hasira zetu sumaye
Kwenye uchaguzi si kuna ndio na hapana?

Yeye amedhalilishwa vipi?

Ameshajitoa Kwenye chama sasa kwa nini ajitoe na asiendelee na chama kama wengine?
 
Hongera sana CDM, sasa imekuwa taasisi kubwa sitarajii kwa hili la Sumai kukiteteresha chama bali anakiongezea promo.Hongereni sana wana CDM, nami nipo mbioni kujiunga rasmi nakusanya ada walau na ka mchango kuanzia 1M,Tzs.
 
Back
Top Bottom