Mfiaukweli
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 5,636
- 8,777
Mjukuu wangu mbona una mihemko? ebu relax kidogo muheshimiwa ana mambo mengi hawez kukumbuka kila mtu alieongea nae.Kunywa maji barid hapo ulipo bill nitumie pm
Hata usiku haulali ina maana hata familia huna mke wako ni JFJah people aliishia chekechea!
Hata familia huna usiku wote bado upo onlineMlichomfanyia mzee sumaye mtajuta baadae
Sasa kwann usiseme hicho mlichoongea?
Anamaanisha Mbowe na mzee Sumaye wote ni walutheri!
Na wewe mumeo ni Jf mbona bado hujalala manka?!!Hata usiku haulali ina maana hata familia huna mke wako ni JF
Hata familia huna usiku wote bado upo online
Haya uliyoyasema nani kakupa kibali?Bila kibali chake ndugu yangu?
Haya uliyoyasema nani kakupa kibali?
kiukweli nimeshindwa amino kama huyu aliwahi kuwa waziri Mkuu nchi hii Kwa jinsi alivyolalamika
umeongea ukweli, demokrasia iko tu CCM, si unaona vile taifa limesonga mbele kimaendeleo, haki za binadamu zinahesimiwa, vyama vya upizani zinafanya mikutano ya siasa pale zinapotaka, popote nchini na zanzibar, uchumi umeimalika ajabu, kila wilaya ina viwada 200 vya kisasa.Sasa alikuwa hajui kama ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia? Kwani Lowassa aliwekwa vipi kuwa mgombea Urais CHADEMA? CHADEMA hakuna demokrasia wala maendeleo.
Umeonae!Akigombea Urais atashindwa kuwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Mbowe ni Mchagga na anajua umuhimu wa fedha
Ni kwa nini hujawahi kunielewa ili nikujibu uweze kunielewa.
ila nyinyi ni wapumbavu kweli, Chama hakina msingi bado mnaking'ang'ania. Akifa Mbowe leo na chama nacho kinakufa kwasababu viongozi wote wazuri wameondoka. Angekuepo Slaa, Kabwe na Wangwe walau tungesema chama kitakuwepo lakini loh! Ni kama huyu mzee anapenda CHADEMA ishindwe. Ukiwa mtu wa nje unaona CCM ni bora kuliko CHADEMA mara 100. Pamoja na CCM kutokua na elimu lakini chama chao ni imara sana na hata mwenyekiti wao asipokuwepo kuna watu watashika hatamu na wataendelea vizuri.Nasema ni aibu kubwa kwa waziri mkuu mstaafu kukiri hadharani kuwa analazimika kuachana na siasa eti kwakuwa anamuogopa kiongozi wa chama cha upinzani. Anaogopa maneno aliyosema koongozi wa upinzani.
Ila sishangai maana anayeogopwa amewahi kuzoa mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuwafanya kuwa wapinzani.
Kama waziri mkuu mstaafu anamuogopa kiongozi wa upinzani basi kiongozi huyo ni imara sana!
Sasa Mkuu, baba yangu anaingiaje hapa? Hoja yako ilikuwa Mbowe anaogopa kugombea Urais. Nami nimekwambia alishagombea. Punguza kuropoka!Labda babaako ndio mtoto kwangu! Najua aligombea Urais 2005. Na najua aligombea uwenyekiti kwa mara ya kwanza 2004. Sasa hoja, mbona hakugombea urais 2010 na 2015 lakini aligombea uwenyekiti 2009, 2014 na sasa hivi 2019?
Nina free mind. Mimi siangalii mtu,chama. Bali naangalia reality.Huwa nakutana na maoni yako humu jukwaani katika post tofauti, kuna wakat nadhan labda ni watu wawil tofauti mana huwa coment zako huwa zinakuwa na mtazamo tofauti kwenye ishu moja ila threads za watu tofauti