Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mzee Frederick Tluway Sumaye ajiondoa CHADEMA. Asema mambo yamembadilikia CHADEMA baada ya kuchukua fomu kugombea Uenyekiti Taifa

Mjukuu wangu mbona una mihemko? ebu relax kidogo muheshimiwa ana mambo mengi hawez kukumbuka kila mtu alieongea nae.Kunywa maji barid hapo ulipo bill nitumie pm

Tunadaiwa tu-elfu 56 tu babu. Mimi na mjukuu wako mwingine Miss Fulani tumekukunywa ka Henessy kamoja tu.
 
Sasa alikuwa hajui kama ndani ya CHADEMA hakuna demokrasia? Kwani Lowassa aliwekwa vipi kuwa mgombea Urais CHADEMA? CHADEMA hakuna demokrasia wala maendeleo.
umeongea ukweli, demokrasia iko tu CCM, si unaona vile taifa limesonga mbele kimaendeleo, haki za binadamu zinahesimiwa, vyama vya upizani zinafanya mikutano ya siasa pale zinapotaka, popote nchini na zanzibar, uchumi umeimalika ajabu, kila wilaya ina viwada 200 vya kisasa.

wakulima wa korosho serikali inawanunulia korosho na kuwalipa baada ya masaa 24, wabunge na madiwani wa upizani wanahamia CCM kwa hiari yao, hawataki hela, na hosipitali na shule zote zimejaa dawa na vifaa vya kisasa, shirika letu la ndege ndilo linaongoza kwa faida barani africa, wale wanataja ethiopia airlines ni wanafiki na waongo na wahujumu uchumi, nani kaa uvccm, wale ni vijana wachapa kazi kweli, huoni ile maendeleo iko hai kwa ole saa mbaya, na mengine mengi 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛 😛
 
Huwa nakutana na maoni yako humu jukwaani katika post tofauti, kuna wakat nadhan labda ni watu wawil tofauti mana huwa coment zako huwa zinakuwa na mtazamo tofauti kwenye ishu moja ila threads za watu tofauti
Ni kwa nini hujawahi kunielewa ili nikujibu uweze kunielewa.
 
Nasema ni aibu kubwa kwa waziri mkuu mstaafu kukiri hadharani kuwa analazimika kuachana na siasa eti kwakuwa anamuogopa kiongozi wa chama cha upinzani. Anaogopa maneno aliyosema koongozi wa upinzani.

Ila sishangai maana anayeogopwa amewahi kuzoa mawaziri wakuu wastaafu wawili kwa mpigo na kuwafanya kuwa wapinzani.

Kama waziri mkuu mstaafu anamuogopa kiongozi wa upinzani basi kiongozi huyo ni imara sana!
ila nyinyi ni wapumbavu kweli, Chama hakina msingi bado mnaking'ang'ania. Akifa Mbowe leo na chama nacho kinakufa kwasababu viongozi wote wazuri wameondoka. Angekuepo Slaa, Kabwe na Wangwe walau tungesema chama kitakuwepo lakini loh! Ni kama huyu mzee anapenda CHADEMA ishindwe. Ukiwa mtu wa nje unaona CCM ni bora kuliko CHADEMA mara 100. Pamoja na CCM kutokua na elimu lakini chama chao ni imara sana na hata mwenyekiti wao asipokuwepo kuna watu watashika hatamu na wataendelea vizuri.
 
Labda babaako ndio mtoto kwangu! Najua aligombea Urais 2005. Na najua aligombea uwenyekiti kwa mara ya kwanza 2004. Sasa hoja, mbona hakugombea urais 2010 na 2015 lakini aligombea uwenyekiti 2009, 2014 na sasa hivi 2019?
Sasa Mkuu, baba yangu anaingiaje hapa? Hoja yako ilikuwa Mbowe anaogopa kugombea Urais. Nami nimekwambia alishagombea. Punguza kuropoka!
 
Huwa nakutana na maoni yako humu jukwaani katika post tofauti, kuna wakat nadhan labda ni watu wawil tofauti mana huwa coment zako huwa zinakuwa na mtazamo tofauti kwenye ishu moja ila threads za watu tofauti
Nina free mind. Mimi siangalii mtu,chama. Bali naangalia reality.
 
THE SEAL,
Two wrongs do not make a right. Sasa kwa vile CCM hakuna demokrasia wala maendeleo na CHADEMA napo ni sawa kutokuwa na demokrasia na maendeleo? I thought Chadema wapo pale ili kuikomboa nchi kutoka kwenye Ukiritimba wa CCM? Kumbe in reality CHADEMA ni worse kuliko hata hao CCM.
 
Back
Top Bottom