Acha hizo kamanda.Sumaye kamwanga manyanga mwenyewe kugombea Uenyekiti.Kaogopa kumfuata Chacha Wangwe kaburini. Mbowe ni dictator.
Aunge tu mkono juhudi za sirikali ya awamu ya dala.Tunamsubiri kwa hamu tumpoke Chichiemu
Mungu aniepushe na kizazi changu namtania huyo mkuuMy dear na wewe ni chama kile cha bwana yule?
Upo kwenye mkutano?
Magufuli na Mbowe nani Dikteta?
Amesema hajiungi na chama chochote cha siasa.Akiunga juhudi mwishoni msimuite msaliti
Kijana umezaliwa juzi nini.Kweli nyani haoni K yake.
Any way weka matokeo ya Aikael hapa tuone.
Kwani mwisho wa press kasemaje?Sumaye kaondoka Chadema. Hajiungi na chama chochote cha siasa.
Sasa alikuwa hajui kama ndani ya Chadema hakuna demokrasia ? Kwani Lowassa aliwekwa vipi kuwa mgombea Urais Chadema ? Chadema hakuna demokrasia wala maendeleo.
Subiria matusi,umezungumza ukweli mchungu.Sumaye kamwanga manyanga mwenyewe kugombea Uenyekiti.Kaogopa kumfuata Chacha Wangwe kaburini. Mbowe ni dictator.
Sumaye lazima atarudi CCM dada yangu,kwani kwenye siasa hamna adui wa kudumu.Sumaye kaondoka Chadema. Hajiungi na chama chochote cha siasa.