Na wewe umechoka kunyanyaswa na Mbowe? Toka uko uliko na uingie Chadema ndio utajua kama kuna unyanyasa au hapanaSumaye mwaga mboga
Tumechoka kunyanyaswa na dikteta Mbowe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe umechoka kunyanyaswa na Mbowe? Toka uko uliko na uingie Chadema ndio utajua kama kuna unyanyasa au hapanaSumaye mwaga mboga
Tumechoka kunyanyaswa na dikteta Mbowe
Mkuu, mganga hajigangi bhana. Naomba unifikirie ili nami nikufikirie kwenye teuzi zijazo.Unaweza tumia ndogo yako mkuu, au umeshindwa kufikia????
Mkuu, mganga hajigangi bhana. Naomba unifikirie ili nami nikufikirie kwenye teuzi zijazo.
Siyo utoto hawa ni wajinga kbsa ..hapana siyo wajinga ni wapumbavu hawana akili ya kuelewaKwani Sumaye ni wa kwanza kuleta hizi tuhuma dhidi ya Mbowe?
Acheni utoto!
Ndo democrasia yenyewe hiyo.Hakuna kupita bila kupingwa huku huo utaratibu haupo kabisa.Hapana Sumaye kaonewa .Kamati kuu ya chadema ilimwona anafaa na ndie alikuwa mgombea pekee.Kulikuwa na sababu gani ya kuitisha kura Tena?
Yaani hawafai hata kupewa kijiji, majimbo yote waliyoshinda wameyatelekeza wapo tu kumsujudia MboweSasa anayewaongoza alipata div zero , hapo hamna chama ni wahuni Tu fulani
Upotezaji muda na pesa za ruzukuNdo democrasia yenyewe hiyo.Hakuna kupita bila kupingwa huku huo utaratibu haupo kabisa.
Ni cha ukoo wa mteiHivi hiki chama ni cha Mtu binafsi au!! Mnasababisha hata sisi ambao hatujui siasa tuanze kujiuliza sasa Aaaaagh.
Umeamini na wewe,sidhani kama kuna mwanasiasa anaweza kuishi kama mimi na wewe. Siasa ni kama nyama ya mtu,ukishaionja huwezi kuacha.Sumaye kaondoka CHADEMA. Hajiungi na chama chochote cha siasa.
Lowasa mbona mulimuamini?Chadema sio wajinga kuna kitu kiko chini ya kapeti sisi hitukijiu,ila hawa watu waliotoka com sio wakuwaamini hata kidogo,