emmanuel mruma
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,777
- 1,719
Na JPM ndie alieanzisha kujengea hawa wastafu majumba makubwa mchana kweupeThe problem tuu ni kwamba wanafanya mchana kweupe bila haya wala woga, they know hamwezi kufanya lolote. Mfano mechi ya jana. Ingekuwa JPM lazima papohapo angepiga simu laivu uwanjani na mechi ingechezwa saa kumi na moja kama ilivyopangwa. Huu ni ushamba na ulemavu wa akili uliokithiri.
Sheria ilikuwepo toka wakati wa Mkapa.The problem tuu ni kwamba wanafanya mchana kweupe bila haya wala woga, they know hamwezi kufanya lolote. Mfano mechi ya jana. Ingekuwa JPM lazima papohapo angepiga simu laivu uwanjani na mechi ingechezwa saa kumi na moja kama ilivyopangwa. Huu ni ushamba na ulemavu wa akili uliokithiri.
Sheria ilikuwepo toka wakati wa Mkapa.
Mkapa hakumjengea Nyumba Mwinyi.
Kikwete alipo ingia Madarakani, hakumjengea Mkapa.
Ila JPM, Mzalendo, Msomi wa PhD alipata uchungu baada ya kuona lile HEKALU la Mkapa pale Lushoto-Tanga ni kijunba kisicho na hadhi ya Rais Mstaafu. Akaamua mjengea nyumba Mkapa.
Mzalendo na Kipenzi cha Wanyonge aliona lile Jumba la Mwinyi pale Mikocheni ni kijumba hakina hadhi ya Rais, pia aliona lile Kasri la Mzee Mwinyi pale Zanzibar (Maisara) ni kijumba hakimfai Mzee Mwinyi akaamua kumjengea dude JINGINE UFUKWENI.
Mzalendo na Jemedari aka JEMBE aliona ile nyumba mitaa ya Ursino haina hadhi ya kukaa Kikwete lakini pia aliona lile HEKALU la Msoga ni kijumba kisicho na HADHI akaamua mjengea JUMBA la Hadhi Mh Kikwete.
Hakuishia wajengea nyumba tu, pia aliwagawia TAUSI wa IKULU baada ya yeye kujigawia na kuwapeleka CHATO.
Werevu wanajua kwanini RAIS MWENYE PhD ya Sayansi aliyafanya haya.
Hutaki kusema sana kwasababu huna unalolijua.Baada ya kuwasakama sana wastaafu kwa sababu ya uozo wao walioufanya wakiwa madarakani na nje ya utawala, the last resort toward umojalization of these four meritocratic or elite individuals ilikuwa proposal ya wastaafu hao. Nadhani ni Jamaa wa Msoga au nani alimwambia Bulldozer: ^Look, you've taken back from us almost everything we had and dependend on, basi tutimizie kile kipengele cha Katiba ili sie tuendelee na yetu. Hatuna neno na wewe.^ He had to offer them their desperate request in order to save them some more time hapa duniani. Sitaki kusema mengi kwa sababu sina ulinzi wa kutosha. 🙂
watanzania hatuna kulidhika.bahat ya mwenzio waswahir wanasem usilalie mlang waz .. utaumwa na simbaHapana Mambo mengine yanakuwa kama wivu binafsi, mwacheni, he served the nation na hiyo ni stahiki aliyoikuta hata hakupitisha yeye hiyo sheria. Aliyepaswa kujua haya no aliyemjengea.
Amejitoa sana tu, kajenga shule za kata, dispensary, vijana walipata mikopo ya chuo pamoja na kuhakikisha nchi inakuwa salama kwa kuwajali wapiganaji wetu na kulinda mipaka ya nchi pamoja na kuheshimu Katiba ya nchi.
Mwacheni hiyo ni pesa ndogo sana hata yeye anaweza kuitoa Ila kuna heshima yake kwa kiongozi wa nchi .
Tuwe na heshima wakati mwingine.
Mwalimu Nyerere ndiye raisi aliyewapenda sana Watanzania na hakuwahi kujirimbikizia mali na uwezo huo alikuwa na hao hao wengine wanatumia vibaya hela zetu za kodi haiwezekani mtu amekuwa raisi miaka 10 na bado unamujemgea nyumba plus benz wakati wap watanzania hata kupata mlo mmoja kwa siku kwao ni shida hakika tungekuwa tunaishi milele duniana tungetesana sana lkn tunapita tu
Barua ya wazi kwa rais mstaafu Kikwete.
Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu
Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na kitendo cha serikali yetu kukujengea Jumba kubwa utadhani Kasri la Wafalme na wewe bila haya au aibu unalipokea kwa bashasha bila kujali kuwa nchi hii bado ni masikini sana na bado ina uhitaji mkubwa sana wa kila senti kwenda kuondoa umasikini wa kutisha wa watu wetu.
Ninafahamu kuwa mlijitungia sheria kuwa mstaafu akistaafu basi apewe pakeji nono ikiwemo kujengewa nyumba, licha ya kwamba hukuwa rais wakati sheria hiyo inatungwa, lakini ulikuwemo serikalini wakati inatungwa, baadae ukawa rais na hukuirekebisha hiyo sheria!, Na wala hujawahi kusikika popote kuonyesha kutofurahishwa na Mzigo mzito wa sisi wananchi kuwagharamieni nyinyi wastaafu kupitia kodi zetu.
Ndugu Jakaya Rais mstaafu, hebu niambie, wewe kama mtu uliyefanya kazi kwenye chama na serikali toka mwaka 1975 hadi mwaka 2015 ina maana hadi ulipostaafu, yaani jumla ya miaka 40 hukujenga nyumba yoyote?, ina maana miaka yote hiyo ulikuwa unapanga? —ina maana uliacha kujenga nyumba ukitatrajia kuwa one day utakuwa raisi ili ukistaafu ujengewe nyumba kwa kodi za wananchi?
Ndugu Jakaya, Je nyumba yako ya Msoga haikutoshi? Unataka tena hilo hekalu ulipeleke wapi? Unataka umuachie urithi Ridhiwani?, umuachie urithi Miraji?, Umuachie urithi Mama Salma kupitia jasho la wananchi?
Nakuandikia barua hii nikitambua kuwa ulikuwa kijana wa TANU wewe, na nyie vijana wa kipindi hicho mlikuwa mkituaminisha kuwa mmeiva kwenye Itikadi za kukataa "unyonyaji",Najiuliza, kama mliweza kuwaaminisha wananchi kuwa siyo wanyonyaji na wakawaamini mpaka kuwapa nyadhifa kubwa huko mbeleni, mbona basi mnageuka wanyonyaji katika kustaafu kwenu?—Ina maana mikogo yenu ile ya kipindi hicho ya kujifanya siyo wapenda kujitajiriisha kwa kutumia kivuli cha nyadhifa zenu ilikuwa feki?. Mnapata wapi usingizi wa kuenjoy mimali yote hii katikati ya lindi zito la umasikini wa watu wenu tena kwa kujitajirisha kupitia jasho lao?
Ndugu Jakaya, mimi sitaki kukueleza umasikini wa nchi hii kwa sababu unaujua, Umeujua ukiwa bado kijana na unaujua ukiwa mzee—Hebu tutazame sisi wananchi walalahoi machoni, ambao masilahi yetu tunaambiwa hatuwezi kupata kwanza kwa sababu uchumi wa nchi umeshuka, kisha tuambie ndugu Jakaya, hilo hekalu lako ulilojengewa na serikali uliyopambana sana kuiweka madarakani linatusaidiaje sisi wananchi kuondoa adha za ukosefu wa maji, Ukosefu wa madawa, ukosefu wa madawati, upungufu wa ajira kwa vijana wetu, masilahi ya wakulima na wafanyakazi?
Ndugu Jakaya, wewe unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa rais aliyeko madarakani, hivyo ndivyo nyie wanene mlivyojipangia, Unashindwaje kwa mshahara kujijengea nyumba nyingibe ukiihitaji mpaka serikali ikujengee Hekalu lote hilo kwa kodi za wananchi?
Najua unaweza kusingizia kuwa eti hivyo ndivyo sheria inavyotaka, lakini je kwani ungekataa kujengewa hilo hekalu ungelazimishwa?, Na kama ukilazimishwa kwani huwezi kulikataa?
Nakuandikia haya huku nikijua kuwa Rais Mkapa alijengewa Jumba lake, Mwinyi akajengewa Kasri lake na wewe leo umekabidhiwa Hekalu lako. Katika wote hao nimeamua nikuandikie wewe barua hii ya wazi kwa sababu Mzee Mkapa hatunaye, hawezi kujibu, Mzee Mwinyi ni mtu mzima sana, ni dhahiri anasukumiziwamo tu, Ila wewe bado una nguvu uko active na bila shaka unafuatilia kwa karibu sana yanayojiri nchi hii!
Kuna swali moja tu ningependa unijibu, JE TANU ILIWAFUNDISHA VIJANA WAKE MKIPATA MADARAKA AU KUSTAAFU MGEUKE WANYONYAJI?
Jakaya nakuomba kwa heshima na taadhima, wewe umeshiba, wenye njaa nchi hii ni wengi, wananchi wenye uhitaji wasioweza kumudu mahitaji yao ya msingi ni wengi, Hilo hekalu lako linaweza kujenga maelfu ya vyumba vya madarasa kusaidia watoto ambao wanafaulu darasa la saba lakini haweawezi kuendelea kutokana na upungufu wa madarasa nchini. Hilo hekalu lako ni zaidi ya Zahanati 50, Hilo hekalu lako ni zaidi ya madawati 5000.
Hebu niambie Jakaya mtu mwenye majumba, una familia yenye kipato kizuri, Unawezaje kukubali kuwa na Hekalu lote hilo kwa jasho la wananchi wenye uhitaji wa kila senti ya jasho lao?
Tafadhali rudisha hilo hekalu kwa wananchi liwasaidie, ukifanya hivyo utakuwa muungwana sana!
koma wewe uko kwa maslahi ya nani km siyo tumbo lako wewe lazima utakuwa mchawi tu.Watu ni walewale -- poor thinking, visionless, selfish, wachumia-tumbo. Wako kwa ajili ya maslahi yao wenyewe. Huo ndio ukweli mchungu...
Kwa hiyo sisi tusiojengewa nyumba na serikali kila mmoja kwa nafasi yake aibe serikalini siyo?Daaa!! J.kikwete Wangeiba km Mobutu wa zebanga kelele!!!!
Hawajatukimbia tuko nao humu humu-kelele bin lawama.
Hayaaa!!wangeiba wakajenga kwa hela zao vidole mngewanyooshea!
Wakijenga vijumba vya nyasi na kuishi humo -ooh Rais gani huyo maskini.Alishindwa kujijenga.
Asiiposomesha watoto wake ooh! Hana akili.
Kajumba gani hako ka kupigia kelele humu JF hivi ange kuwa na mjengo km Peacock Hotel si mngejinyea nyie!!
Mobutu alinunua mijumba ughaibuni si kitoto na hapo bado Gbadolite Mansion kijijini kwao.
Wewe unalia kighorofa kile tu hakina hata mbuni.swala wa kufugwa??
Mnalialua tuuu!! Umaskini...
Mnatisha watoto wetu bana!! Heee!!hako siyo kajumba ka kupigia kelele wanaume. kenge wee!!
Wangapi wanapata lift ya maisha kwa huyo mzee!! Kwani anaishi peke yake humo?
Rais means more pipo....nenda na wewe uombe hifadhi uone km atakufukuza!!
Kwanza haimtoshi uchochoro tu ule alitakiwa awekewe na
mbuga ndogo ya wanyama.
Uwanja mdogo wa ndege.
helikopta binafsi.
uwanja wa golf
Cesna mbili vyote vyake.
Guest house.
Uwanja wa mashindano ya farasi royal
umaskini wako kuleee!! Baba lako zembe wewe lizembe pia unatulilia sisi??
Mkwepa kodi wewe mnasumbua sana
Au Kodi gani uliyo nayo wewe maskini!! Yakujenga hata choo tu!!
Km unalipa kweli Kodi yako inalipia ulinzi wako tu. Hukusoma nini....
Hata barabara nzuri ya lami unayopita leo ni sisi tulipitisha kopo ulaya la msaada kikwete akiwa waziri wa nje nyambaf!!
Koma kumsema sema huyu mzee hutaki kufaaaa!!!Na hkn wakumfanya kitu tutakuua ukijaribu kusogea pale....
Libabako lilikalia ma-cd tuuu!! Ukakosa shule leo unatulilia sisi.lione kwanza mijitu mingine bana nachukiaga sana.....mfyuxcvvvdffhb!!
hujamuelewa weweSasa kama unajidharau namna hii unataka tukusaidieje?
Wewe km ulivo kamwe huwezi kuiba serikalini. Nasema!!!Kwa hiyo sisi tusiojengewa nyumba na serikali kila mmoja kwa nafasi yake aibe serikalini siyo?
Kama sisi tunajenga nyumba kwa uwezo wetu, wao watashindwaje kujijengea? —Na mbona mijumba wanayo tu ya kumwaga anywayk
Ndugu yangu MISSILE OF NATION binafsi sijaona kosa la Jakaya kupewa kasri hilo ilihali hakuiba wala kudhulumu.Halafu pia kumbuka katika maumbile kuna viumbe warukao,wapo wanaotambaa na wapo wanaotembea.Kama ni wa kutambaa atatambaa,kama wa kupaa atapaa na kama ni wa kutembea atatembea tu.Hakuna Hivyo namna.Kwenye pendekezo au rai yako ni kama kulazimisha maji myanayoporomoka toka mlimani na kutaka yarudi kutoka maporomokoni kwenda mlimani.
Barua ya wazi kwa Rais mstaafu Kikwete.
Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu
Nakuandikia barua hii mimi kama raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuonesha kukasirishwa, kutopendezewa na kitendo cha serikali yetu kukujengea Jumba kubwa utadhani Kasri la Wafalme na wewe bila haya au aibu unalipokea kwa bashasha bila kujali kuwa nchi hii bado ni masikini sana na bado ina uhitaji mkubwa sana wa kila senti kwenda kuondoa umasikini wa kutisha wa watu wetu.
Ninafahamu kuwa mlijitungia sheria kuwa mstaafu akistaafu basi apewe pakeji nono ikiwemo kujengewa nyumba, licha ya kwamba hukuwa rais wakati sheria hiyo inatungwa, lakini ulikuwemo serikalini wakati inatungwa, baadae ukawa rais na hukuirekebisha hiyo sheria!, Na wala hujawahi kusikika popote kuonyesha kutofurahishwa na Mzigo mzito wa sisi wananchi kuwagharamieni nyinyi wastaafu kupitia kodi zetu.
Ndugu Jakaya Rais mstaafu, hebu niambie, wewe kama mtu uliyefanya kazi kwenye chama na serikali toka mwaka 1975 hadi mwaka 2015 ina maana hadi ulipostaafu, yaani jumla ya miaka 40 hukujenga nyumba yoyote?, ina maana miaka yote hiyo ulikuwa unapanga? —ina maana uliacha kujenga nyumba ukitatrajia kuwa one day utakuwa raisi ili ukistaafu ujengewe nyumba kwa kodi za wananchi?
Ndugu Jakaya, Je nyumba yako ya Msoga haikutoshi? Unataka tena hilo hekalu ulipeleke wapi? Unataka umuachie urithi Ridhiwani?, umuachie urithi Miraji?, Umuachie urithi Mama Salma kupitia jasho la wananchi?
Nakuandikia barua hii nikitambua kuwa ulikuwa kijana wa TANU wewe, na nyie vijana wa kipindi hicho mlikuwa mkituaminisha kuwa mmeiva kwenye Itikadi za kukataa "unyonyaji",Najiuliza, kama mliweza kuwaaminisha wananchi kuwa siyo wanyonyaji na wakawaamini mpaka kuwapa nyadhifa kubwa huko mbeleni, mbona basi mnageuka wanyonyaji katika kustaafu kwenu?—Ina maana mikogo yenu ile ya kipindi hicho ya kujifanya siyo wapenda kujitajiriisha kwa kutumia kivuli cha nyadhifa zenu ilikuwa feki?. Mnapata wapi usingizi wa kuenjoy mimali yote hii katikati ya lindi zito la umasikini wa watu wenu tena kwa kujitajirisha kupitia jasho lao?
Ndugu Jakaya, mimi sitaki kukueleza umasikini wa nchi hii kwa sababu unaujua, Umeujua ukiwa bado kijana na unaujua ukiwa mzee—Hebu tutazame sisi wananchi walalahoi machoni, ambao masilahi yetu tunaambiwa hatuwezi kupata kwanza kwa sababu uchumi wa nchi umeshuka, kisha tuambie ndugu Jakaya, hilo hekalu lako ulilojengewa na serikali uliyopambana sana kuiweka madarakani linatusaidiaje sisi wananchi kuondoa adha za ukosefu wa maji, Ukosefu wa madawa, ukosefu wa madawati, upungufu wa ajira kwa vijana wetu, masilahi ya wakulima na wafanyakazi?
Ndugu Jakaya, wewe unalipwa asilimia 80 ya mshahara wa rais aliyeko madarakani, hivyo ndivyo nyie wanene mlivyojipangia, Unashindwaje kwa mshahara kujijengea nyumba nyingibe ukiihitaji mpaka serikali ikujengee Hekalu lote hilo kwa kodi za wananchi?
Najua unaweza kusingizia kuwa eti hivyo ndivyo sheria inavyotaka, lakini je kwani ungekataa kujengewa hilo hekalu ungelazimishwa?, Na kama ukilazimishwa kwani huwezi kulikataa?
Nakuandikia haya huku nikijua kuwa Rais Mkapa alijengewa Jumba lake, Mwinyi akajengewa Kasri lake na wewe leo umekabidhiwa Hekalu lako. Katika wote hao nimeamua nikuandikie wewe barua hii ya wazi kwa sababu Mzee Mkapa hatunaye, hawezi kujibu, Mzee Mwinyi ni mtu mzima sana, ni dhahiri anasukumiziwamo tu, Ila wewe bado una nguvu uko active na bila shaka unafuatilia kwa karibu sana yanayojiri nchi hii!
Kuna swali moja tu ningependa unijibu, JE TANU ILIWAFUNDISHA VIJANA WAKE MKIPATA MADARAKA AU KUSTAAFU MGEUKE WANYONYAJI?
Jakaya nakuomba kwa heshima na taadhima, wewe umeshiba, wenye njaa nchi hii ni wengi, wananchi wenye uhitaji wasioweza kumudu mahitaji yao ya msingi ni wengi, Hilo hekalu lako linaweza kujenga maelfu ya vyumba vya madarasa kusaidia watoto ambao wanafaulu darasa la saba lakini haweawezi kuendelea kutokana na upungufu wa madarasa nchini. Hilo hekalu lako ni zaidi ya Zahanati 50, Hilo hekalu lako ni zaidi ya madawati 5000.
Hebu niambie Jakaya mtu mwenye majumba, una familia yenye kipato kizuri, Unawezaje kukubali kuwa na Hekalu lote hilo kwa jasho la wananchi wenye uhitaji wa kila senti ya jasho lao?
Tafadhali rudisha hilo hekalu kwa wananchi liwasaidie, ukifanya hivyo utakuwa muungwana sana!
Ukikubali matunda ya unyonyaji na wewe ni mnyonyaji hata kama unyonyaji huo umehalalishwa na sheria mbovu.Ndugu yangu MISSILE OF NATION binafsi sijaona kosa la Jakaya kupewa kasri hilo ilihali hakuiba wala kudhulumu.Halafu pia kumbuka katika maumbile kuna viumbe warukao,wapo wanaotambaa na wapo wanaotembea.Kama ni wa kutambaa atatambaa,kama wa kupaa atapaa na kama ni wa kutembea atatembea tu.Hakuna Hivyo namna.Kwenye pendekezo au rai yako ni kama kulazimisha maji myanayoporomoka toka mlimani na kutaka yarudi kutoka maporomokoni kwenda mlimani.
Rai kama hizi katika mazingira yalivyo ni tatizo.
Katika dunia tulio nayo wengi wetu tumekwenda shule ili kusoma na kupata elimu.Lakini kuna aina mbili za wanafunzi kwenye suala la kwenda shule.Nia ni kupata elimu kwa njia ya KUSOMA, ili elimu ile ikusaidie katika maisha kwa namna fulani.Sasa basi kuna watu wanaokwenda shule na WANASOMA,halafu kuna aina ya pili WANASOMWA.Shida ipo hapa! UKISOMA basi elimu ulioisoma itakusaidia kwenye maisha.UKISOMWA utabakia kulalamika katika masuala mepesi sana na ambayo hayawezekani kuyabadili kiurahisi. Binafsi sioni kosa la Jakaya la kumfanya akatae alichopewa,na hata akiamua kusikiliza ushauri wa kurudisha kasri kwa waliompa kwa mujibu wa taratibu ambazo hakulazimisha ziwepo,halitamnufaisha mtu yoyote zaidi ya kumilikiwa na serikali kwa matumizi yake na labda hata ambayo hatutayajua wala kutunufaisha.
Katika hali halisi kimaisha Jakaya na kasri lake,Mzee Mwinyi na Benz lake,Karume na V8 yake wote hawa wapo kwenye kundi fulani.Ndio maumbile na taratibu zake zilivyo.Mimi,wewe na mwingine tunaoangalia na kuona au kusikia haya ya akina Jakaya na wenziwe wakipewa walivyopewa nasi tupo kwenye kundi jingine.Hii ni pamoja na wale ambao hawana habari kwa kusikia au kuona kuhusu suala la Kasri na Benz nao wapo kwenye kundi jingine.Ndio maana nikasema pale mwanzo kuna viumbe wanaopaa,kutambaa na kutembea.Kwa machache hayo ndugu yangu nakusihi sana usimalize pumzi na muda wako kuumia kwa kitu ambacho HAKIWEZEKANI.
Jakaya mwenyewe umemuandikia au kick tu JF?Hakuna time limit ya kupinga sheria za kidhalimu na matokeo ya sheria hizo.
Context ya wakati ambapo tumeona enforcement ya sheria hiyo waliyojitungia wenyewe ikijitokeza hivi karibuni, imepelekea kuraise alarm kubwa kwetu na kwa muktadha huo imetulazimu tuwaeleze ukweli beneficiary wa sheria hizo kuwa wanachofanya ni unyonyaji uliowezeshwa kisheria. Hawana excuse ya kujificha kwenye kivuli cha sheria kwa sababu pamoja na uwepo wa Sheria hiyo bado wangeweza kukataa benefits hizo za kinyonyaji.Kwa sababu kimsingi hiyo sheria inasema lazima mtu aipokee hiyo nyumba!.
Ufortunately beneficiaries waliohai ni wawili, huko juu nimeeleza why nimemuandikia barua hii ya wazi Jakaya na siyo mzee Mwinyi!
So, sijamshambulia Jakaya, bali nimemtaka aliachie hilo hekalu lipigwe mnada pesa zikasaidie wananchi. Jakaya ana mijumba mingine, ni unyonyaji kukubali hili jingine
Kwani wewe unapoandika humu huwa unatafuta kiki na unapiga kelele tu au unaamini mawazo yako yanaleta positive impact katika jamii ikiwemo kufika huko kwa watawala ili wayafanyie kazi?.Jakaya mwenyewe umemuandikia au kick tu JF?
Maana isije kuwa kelele nyingi JF wakati Jakaya mwenyewe hata hajui kwamba wewe kiumbe upo duniani.
Mimi sijawahi kumlalamikia Jakaya arudishe mafao yake.Kwani wewe unapoandika humu huwa unatafuta kiki na unapiga kelele tu au unaamini mawazo yako yanaleta positive impact katika jamii ikiwemo kufika huko kwa watawala ili wayafanyie kazi?.
Mimi ninachojua ni kuwa watawala ba watu wazito pia husoma mitandao, Samia alisema anapitia mitandao, naamini hata Jakaya anapitia mitandao including JF kwa hiyo ujumbe wangu utamfikia
Sawa, kila mtu aandike hapa JF kadri anavyodhani ni sahihi bila kuvunja kanuni za JF.Mimi sijawahi kumlalamikia Jakaya arudishe mafao yake.
Najadili hoja, sijadili mtu.
Wewe unayetaka Jakaya arudishe mafao huyo Jakaya hujamuandikia. Hiki kituko.
Mbunge wako anayeweza kupeleka hoja ya kubadili sheria bungeni umemuandikia?