Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

Kikwete hakunena chochote enzi za Magufuli.
Ila leo msemaji
Sababu Mwendazake alikuwa mungu wenu,na hakuwa mwenye mshikamano na waliomtangulia kabla yake, wasukuma dhama zenu zishapita,mungu wenu ashaenda kuwa kiongozi wa malaika Kama alivyokuwa anajinasibu wkati akiwa hai
 
Ni wazee pia lakini Kikwete amewahi kuwa Rais, na mwenyekiti wa chama.

Hivyo anawazidi uzoefu. Kwa lugha nyingine, Kikwete anaweza kuwa deep state.
Sifa ya uzee kwangu ni Hekima, sio Uzoefu, sijui wewe mwenzangu.
 
Sababu Mwendazake alikuwa mungu wenu,na hakuwa mwenye mshikamano na waliomtangulia kabla yake, wasukuma dhama zenu zishapita,mungu wenu ashaenda kuwa kiongozi wa malaika Kama alivyokuwa anajinasibu wkati akiwa hai
Wasukuma wanakujaje hapo mkuu.
Au unataka nimwambie Mabeyo apindue nchi
 
Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?

Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Fikiria kwa upana. Hielewi ameyasema hayo katika mazingora gani.

Hivi mwandishi wa habari akienda akamwuliza JK kuwa ana maoni gani Mh. Samia kuwa mwenyekiti wa chama, ulitaka ajibu, 'sijui'?
 
We Kama nani Kwanza hadi ulete masharti yote ayo,, nyinyi Rais wenu mungu mtu ashakufa
Nawe wale wale tu.
EzuZUZ_XEAALDWK-1.jpg
 
Fikiria kwa upana. Hielewi ameyasema hayo katika mazingora gani.

Hivi mwandishi wa habari akienda akamwuliza JK kuwa ana maoni gani Mh. Samia kuwa mwenyekiti wa chama, ulitaka ajibu, 'sijui'?
Nawe fikiria nje ya box, hilo jibu lake likimfikia msemwaji unadhani itakuwaje mbele ya safari?
 
Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?

Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Wewe ni musibaaa nini
 
Wapinzani wakimshindwa tena saivi wasijisumbue asilani,hpa ndo pakudai tume huru ya uchaguzi,katiba,demokrasia nk.
Hivi yule mbunge kessi wa kule rukwa anasemaje kuhusu mwenyekiti wake huyu... Maana yeye na zenji ninyundo na msumari!!!
 
Watu wameanza tena manenomaneno. Ombeni tena basi kwamba Samia ni mpole na nchi hii inataka dictator!
 
“Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete

"Tayari Samia Suluhu amepata uzoefu kwa miaka 5, atakuwa mwenyekiti mzuri, atakuwa Rais mzuri. Kushinda uchaguzi CCM msingi wake ni yale tuliyoahidi, tilivyotekeleza, mimi naamini Serikali ya awamu ya sita itafanikiwa kutekeleza sehemu kubwa.” Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete

Chanzo: EATV
Kikwete atasema hivyo hivyo kwa rais yoyote ajae.
 
Kikwete atasema hivyo hivyo kwa rais yoyote ajae.
Ukiona unasifiwa na JK, ujue kuna mradi wa gas unataka kuanzishwa . Ninakumbuka akiwa anasubiri kukabidhi ikulu aliendelea kuteua tu,mara anakimbilia china kwenda kuwaletea kwa ajili ya SGR. Watanzania ni wasahaulifu sana na ndiko JK anakotupigia bao.
 
Back
Top Bottom