TASK FORCE
JF-Expert Member
- Apr 7, 2017
- 2,465
- 3,459
Sababu Mwendazake alikuwa mungu wenu,na hakuwa mwenye mshikamano na waliomtangulia kabla yake, wasukuma dhama zenu zishapita,mungu wenu ashaenda kuwa kiongozi wa malaika Kama alivyokuwa anajinasibu wkati akiwa haiKikwete hakunena chochote enzi za Magufuli.
Ila leo msemaji
Sifa ya uzee kwangu ni Hekima, sio Uzoefu, sijui wewe mwenzangu.Ni wazee pia lakini Kikwete amewahi kuwa Rais, na mwenyekiti wa chama.
Hivyo anawazidi uzoefu. Kwa lugha nyingine, Kikwete anaweza kuwa deep state.
Jiwe apumzike kwa amani asee# amesahaulika fastaAlianza Prof Asad.
Sasa ni Kikwete.
Jiwe Angekuepo angesema wastaafu wanawashwa washwa.
Wasukuma wanakujaje hapo mkuu.Sababu Mwendazake alikuwa mungu wenu,na hakuwa mwenye mshikamano na waliomtangulia kabla yake, wasukuma dhama zenu zishapita,mungu wenu ashaenda kuwa kiongozi wa malaika Kama alivyokuwa anajinasibu wkati akiwa hai
Aliyekuwa anaongea ni jogoo mmoja tu. Ndio mwendazake. wengine wote walifyata mkiaAliongea sana akasemwambia anawashwa washwa umeshahau kujimwambafai?
Fikiria kwa upana. Hielewi ameyasema hayo katika mazingora gani.Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?
Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Nawe wale wale tu.We Kama nani Kwanza hadi ulete masharti yote ayo,, nyinyi Rais wenu mungu mtu ashakufa
Yes, Na hekima pia mara nyingi hujengwa na uzoefu.Sifa ya uzee kwangu ni Hekima, sio Uzoefu, sijui wewe mwenzangu.
Nawe fikiria nje ya box, hilo jibu lake likimfikia msemwaji unadhani itakuwaje mbele ya safari?Fikiria kwa upana. Hielewi ameyasema hayo katika mazingora gani.
Hivi mwandishi wa habari akienda akamwuliza JK kuwa ana maoni gani Mh. Samia kuwa mwenyekiti wa chama, ulitaka ajibu, 'sijui'?
Wewe ni musibaaa niniHivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?
Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Toka huko shimoni, nyumbu msiojua kuhoji.Wewe ni musibaaa nini
Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?
Jiwe apumzike kwa amani asee# amesahaulika fasta
Kikwete atasema hivyo hivyo kwa rais yoyote ajae.“Sina wasi wasi na uwezo wa Samia Suluhu kukiongoza chama (CCM), nina matumaini makubwa kwamba chama kitazidi kuimarika katika kipindi cha uongozi wake. Anakijua chama, amekuwa mjumbe wa NEC na Kamati Kuu kwa muda mrefu, yeye ni tunda la ndani ya chama” Rais Mstaafu Jakaya Kikwete
"Tayari Samia Suluhu amepata uzoefu kwa miaka 5, atakuwa mwenyekiti mzuri, atakuwa Rais mzuri. Kushinda uchaguzi CCM msingi wake ni yale tuliyoahidi, tilivyotekeleza, mimi naamini Serikali ya awamu ya sita itafanikiwa kutekeleza sehemu kubwa.” Rais Mstaafu Dkt.Jakaya Kikwete
Chanzo: EATV
Ndiye Mzee wa chama aliyebaki. Kwa vyovyote CCM wanamsikiliza yeye, maana Mwinyi kwasasa hajielewi.
Ukiona unasifiwa na JK, ujue kuna mradi wa gas unataka kuanzishwa . Ninakumbuka akiwa anasubiri kukabidhi ikulu aliendelea kuteua tu,mara anakimbilia china kwenda kuwaletea kwa ajili ya SGR. Watanzania ni wasahaulifu sana na ndiko JK anakotupigia bao.Kikwete atasema hivyo hivyo kwa rais yoyote ajae.
Upewe mkataba uusome kazi iendeleeUwazi.
Jogoo + christmass=?Aliyekuwa anaongea ni jogoo mmoja tu. Ndio mwendazake. wengine wote walifyata mkia