Mzee Jakaya Kikwete: Sina wasiwasi na uwezo wa Rais Samia Suluhu

Hivi huyu jamaa amekuwa msemaji wa Samia siku hizi?

Anyway whatever the case, msituletee habari zenu za bandari ya Bagamoyo, unless otherwise terms za kwenye huo mkataba ziwekwe wazi.
Sasa ndyo wakati wa kula bata batani
 
Terms haziwekwi wazi.

Bandari itajengwa.

Na hautafanya chochote.

Kama ambavyo magu alijenga uwanja wa ndege chato na waliohoji hawakufanya chochote.
Umenena mkuu, kama daraja la busisi hakusema chochote.ngoma inogile
 
Kikwete ndo master planner.. King maker. Yule aliyekuwa anajimwambafy, aliemwambia anawashwa washwa yupo wapi sasa? JK yupo na ameweka mwingine
 
Bao gani?,mlisema semi trailer zote za ridhiwan,kumbe ilikuwa husuda tu,,kuna jamii zimelelewa kustaarabu,katika maadili,,hawana mambo ya kudhulumu wala wizi,,sio jitu linspata madaraka utu unalitoka,linaanza kuiba,kudhulumu ,etc
 
Watu wameanza tena manenomaneno. Ombeni tena basi kwamba Samia ni mpole na nchi hii inataka dictator!
Safari hii hakuna mtu atajali maneno maneno,ni kazi tu,,,tunajua matamko pia yataanza kuwa mengi sana,,ndivyo walivyo hawa wanafiki wakiona kiongozi mstaarabu kakamata madaraka,wanamuona ni dhaifu..[emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…