Mzee Kikwete avaa fulana isemayo "Kasi isambazayo tabasamu"

Mzee Kikwete avaa fulana isemayo "Kasi isambazayo tabasamu"

Mimi ndiyo nacheka mpaka jino.la mwisho. Tabasamu muda wote. Long live mama yetu
 
Huyu mzee ataishi sana hana roho ya kwanini anaachilia sana vitu. Sio mwenzangu na mimi unakusanya vitu rohoni na moyo wenye una kibetri cha saa ya disco lazima uondoke.
 
Mzee wa Msoga haishiwi vimbenga, ni mtalaam wakung'ata na kupuliza . Leo inasambaa picha akiwa kavaa tshirt kama ya Yanga akiwa anatazama punda. Tshit ukiangalia kwa makini unabaini ina maneno yasomekayo "Kasi isambazayo tabasamu".

Maneno haya yana maana kubwa sana yanapokaa mgongoni mwake tofauti na yangekaa mgongoni mwa mwananchi wa kawaida.

Je, ni kweli tunayo kasi inayosambaza tabasamu au tumepingwa upofu kuyakumbuka na kuyaona machungu?

View attachment 1797535
Hio Sio Tshirt ya Yanga, ni Tshirt maalum ya Mbio ya CRDB Marathon 2020.
 
Hao ni Farasi sio punda

na tshirt ni kama ya CRDB sio Yanga
Ashawauliza Yanga mna matatizo gani?.mko baridi sana😃
 
Hajawahi kushindwa vita huyu Mwamba, 2015 alichemka kidogo ila amerekebisha tayari. Majasusi yaliyobobea nchi hii wapo wa3, 1. JK, 2. Rostam 3. Edo Ngoyai
 
Mission completed successfully with a big smile.... The eradication process went smoothly...!!!!
Waislamu huwa na hekima ya uongozi thus uishi miaka mingi, Wakristo wanafeli wapi hata sasa wote awapo?
 
Hajawahi kushindwa vita huyu Mwamba, 2015 alichemka kidogo ila amerekebisha tayari. Majasusi yaliyobobea nchi hii wapo wa3, 1. JK, 2. Rostam 3. Edo Ngoyai
Niliamini boys to men hawawezi tuangusha
 
Back
Top Bottom