Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,246
- 11,011
Salaam pia ziwafikie vijana wa buku saba popote walipo.Inaonekana kama mzee Kikwete alijishtukia kwamba amepeleka maneno yenye msumari wa moto mahala. Kiukweli ameongea mengi huku kama kawaida yake akiacha mjadala uki trend huko mitandaoni na hata humu Jf sasa kumekuwa mvurugano baada ya hotuba ya JK. In short hajawahi kuacha upepo tulivu anapohutubia tangia atoke madarakani.
Mwishoni akamwambia Rais Magufuli "Hiyo ndiyo gharama ya kunishtukiza" kisha akamuuliza imetosha au? Kama imetosha naomba uniruhusu nikae! Rais Magufuli kwa moyo mkunjufu akamruhusu akae. Haya maneno haya nayo hatuwezi kuyaacha yapite hivi hivi maana huu ni msimu wa kupiga siasa!
CCM tunaishi kwa Upendo!Inaonekana kama mzee Kikwete alijishtukia kwamba amepeleka maneno yenye msumari wa moto mahala. Kiukweli ameongea mengi huku kama kawaida yake akiacha mjadala uki trend huko mitandaoni na hata humu Jf sasa kumekuwa mvurugano baada ya hotuba ya JK. In short hajawahi kuacha upepo tulivu anapohutubia tangia atoke madarakani.
Mwishoni akamwambia Rais Magufuli "Hiyo ndiyo gharama ya kunishtukiza" kisha akamuuliza imetosha au? Kama imetosha naomba uniruhusu nikae! Rais Magufuli kwa moyo mkunjufu akamruhusu akae. Haya maneno haya nayo hatuwezi kuyaacha yapite hivi hivi maana huu ni msimu wa kupiga siasa!
Hao ni watani wanajuana sana kuliko unavyofikiria.Inaonekana kama mzee Kikwete alijishtukia kwamba amepeleka maneno yenye msumari wa moto mahala. Kiukweli ameongea mengi huku kama kawaida yake akiacha mjadala uki trend huko mitandaoni na hata humu Jf sasa kumekuwa mvurugano baada ya hotuba ya JK. In short hajawahi kuacha upepo tulivu anapohutubia tangia atoke madarakani.
Mwishoni akamwambia Rais Magufuli "Hiyo ndiyo gharama ya kunishtukiza" kisha akamuuliza imetosha au? Kama imetosha naomba uniruhusu nikae! Rais Magufuli kwa moyo mkunjufu akamruhusu akae. Haya maneno haya nayo hatuwezi kuyaacha yapite hivi hivi maana huu ni msimu wa kupiga siasa!
Kaonyesha live gharama za kushtukiziwa. Hapendi shoboMzee wa watu alimaanisha muda na sio hicho..
Mbona hotuba yake yakawaida sana..!
Ukiwa mzushi ni mzushi tu..😅
Nimesikiliza kipande kifupi cha hotuba ya JK ya leo, ama hakika Kikwete anazidi kuthibitisha umwamba wake kwenye fasihi.
Anakuwa shupavu wa muda wote, leo amepiga madongo makali sana kwa maneno mepesi. Nahisi upinzani pia uibe huu ufundi wa JK.
Nimefurahishwa sana pale alivosema target yake yeye na Mkapa ni uchumi wa kati wa per capita ya USD 3,000
Ameweka mzaa kidogo kwamba 'Kama Magufuli akichaguliwa tena, basi ifikapo 2025 basi pato litakuwa limefika USD 3000 kwa kichwa.
Kwa mahesabu yangu ya kiuchumi, ya haraka haraka, ili Tanzania ifikie pato la USD 3000 mwaka 2025 itabidi wastani wa ukuaji wa uchumi na pato la taifa uwe wa zaidi ya asilimia 22 kwa mwaka, na iendelee kuwa hivo kwa miaka minne ijayo.
Hapo ndo naona kwamba Kikwete ameamua kumzabua mtu risasi za moyo kwa kumpa target ambayo kamwe hawezi kuifikia hata robo yake. Kwa tafsiri nyingine ni kwamba leo kuna mtu kavuliwa nguo hadharani. Aisee yule mkwere ni hatari, amedhihirisha kwamba yeye alizaliwa mjini Daslamu na atabaki kuwa hivo
Year 2020 2021 2022 2023 2024 2025Per capital GDP and projected 1,080.00 1,317.60 1,607.47 1,961.12 2,392.56 2,918.92 Required GDP growth per capita 22% 22% 22% 22% 22%
Utani wakati mtu kapewa mabichi liveHao ni watani wanajuana sana kuliko unavyofikiria.
Wewe nyang'ao tulia hayakuhusu. Kama kutangaza vifo tu vya Covid19 imekushinda haya utayaweza?Utani wakati mtu kapewa mabichi live
Yote sahihi mkuu.Jina lako lina maana mbili; zote ni kwa lugha(kabila) ya kwetu
Mlimilwa= mmea unaozaa malimilwa (jamii ya maboga)
Mlimilwa= mlimiwa/mlimiwaji-anayelimiwa
Waliokurupuka ni world bank, magu anatembelea beat ya world bank.Tulisema hapa uchumi wa kati FAKE sasa Kikwete kathibitisha. Sasa huyo MKURUPUKAJI hizi details huwa hazijui anakurupuka tu!?
Nikweli kabisaMagu ndio katufikisha hapa kwenye uchumi wa Kati....
ni kama vile straika anapofunga goli....
hupasiwa pasi na wenzake hilo halina ubishi chief