Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Magu ndio katufikisha hapa kwenye uchumi wa Kati....
ni kama vile straika anapofunga goli....
hupasiwa pasi na wenzake hilo halina ubishi chief
 
Inaonekana kama mzee Kikwete alijishtukia kwamba amepeleka maneno yenye msumari wa moto mahala. Kiukweli ameongea mengi huku kama kawaida yake akiacha mjadala uki trend huko mitandaoni na hata humu Jf sasa kumekuwa mvurugano baada ya hotuba ya JK. In short hajawahi kuacha upepo tulivu anapohutubia tangia atoke madarakani.

Mwishoni akamwambia Rais Magufuli "Hiyo ndiyo gharama ya kunishtukiza" kisha akamuuliza imetosha au? Kama imetosha naomba uniruhusu nikae! Rais Magufuli kwa moyo mkunjufu akamruhusu akae. Haya maneno haya nayo hatuwezi kuyaacha yapite hivi hivi maana huu ni msimu wa kupiga siasa!
Salaam pia ziwafikie vijana wa buku saba popote walipo.
 
Wengine hutukuwepo G.Sam wala kuangalia TV kwa hiyo umetuacha gizani...

Ungekwoti hayo maneno ama kuambatanisha video yake ingekuwa vyema sana....
 
Inaonekana kama mzee Kikwete alijishtukia kwamba amepeleka maneno yenye msumari wa moto mahala. Kiukweli ameongea mengi huku kama kawaida yake akiacha mjadala uki trend huko mitandaoni na hata humu Jf sasa kumekuwa mvurugano baada ya hotuba ya JK. In short hajawahi kuacha upepo tulivu anapohutubia tangia atoke madarakani.

Mwishoni akamwambia Rais Magufuli "Hiyo ndiyo gharama ya kunishtukiza" kisha akamuuliza imetosha au? Kama imetosha naomba uniruhusu nikae! Rais Magufuli kwa moyo mkunjufu akamruhusu akae. Haya maneno haya nayo hatuwezi kuyaacha yapite hivi hivi maana huu ni msimu wa kupiga siasa!
CCM tunaishi kwa Upendo!
 
Mzee wa watu alimaanisha muda na sio hicho..
Mbona hotuba yake yakawaida sana..!

Ukiwa mzushi ni mzushi tu..😅
 
Hao ni watani wanajuana sana kuliko unavyofikiria.
 
Mzee wa watu alimaanisha muda na sio hicho..
Mbona hotuba yake yakawaida sana..!

Ukiwa mzushi ni mzushi tu..😅
Kaonyesha live gharama za kushtukiziwa. Hapendi shobo
 
Kwamba mpango wa kufikà uchumi wa kati ulikuwa mezani na sio ushindi wa MTU mmoja.
Nimesikiliza kipande kifupi cha hotuba ya JK ya leo, ama hakika Kikwete anazidi kuthibitisha umwamba wake kwenye fasihi.

Anakuwa shupavu wa muda wote, leo amepiga madongo makali sana kwa maneno mepesi. Nahisi upinzani pia uibe huu ufundi wa JK.

Nimefurahishwa sana pale alivosema target yake yeye na Mkapa ni uchumi wa kati wa per capita ya USD 3,000

Ameweka mzaa kidogo kwamba 'Kama Magufuli akichaguliwa tena, basi ifikapo 2025 basi pato litakuwa limefika USD 3000 kwa kichwa.

Kwa mahesabu yangu ya kiuchumi, ya haraka haraka, ili Tanzania ifikie pato la USD 3000 mwaka 2025 itabidi wastani wa ukuaji wa uchumi na pato la taifa uwe wa zaidi ya asilimia 22 kwa mwaka, na iendelee kuwa hivo kwa miaka minne ijayo.

Hapo ndo naona kwamba Kikwete ameamua kumzabua mtu risasi za moyo kwa kumpa target ambayo kamwe hawezi kuifikia hata robo yake. Kwa tafsiri nyingine ni kwamba leo kuna mtu kavuliwa nguo hadharani. Aisee yule mkwere ni hatari, amedhihirisha kwamba yeye alizaliwa mjini Daslamu na atabaki kuwa hivo

Year
2020​
2021​
2022​
2023​
2024​
2025​
Per capital GDP and projected1,080.001,317.601,607.471,961.122,392.562,918.92
Required GDP growth per capita
22%​
22%​
22%​
22%​
22%​
 
Tulisema hapa uchumi wa kati FAKE sasa Kikwete kathibitisha. Sasa huyo MKURUPUKAJI hizi details huwa hazijui anakurupuka tu!?
Waliokurupuka ni world bank, magu anatembelea beat ya world bank.
 
Maumivu ya moyoni kwa mzee kikwete kuhusu kuwa nyakati zake watu waiba sana kana kwamba ye alikuwa kama mzigo Fulani uliobweteka hayawezi muishia mzee, So akipata platform kama hz naye lazima achane ukweli..
Mzee Kikwete nakuelewa sana Asee
 
Quotation.
"Mzee mkapa alikuwa apende sifa maana unaweza kusifiwa mpaka ukaharibu"

Asante sana mzee Kikwete.
Mwenye quotation nyingine ya mzee naomba muiweke hapa
 
Back
Top Bottom