Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Tweet ya Magu akijifagilia kufikia malengo ya 2025 mwaka 2020, hebu jaribu kumuelewesha huyo kilaza unayebishana nae Kama ataelewa maana Mimi nimenu ignore tayari, too foolish
View attachment 1520831
Sasa hujioni kama wewe nawe ndio mpumbavu?

Hiyo twit unaona inafanana na alichoongea Kikwete na mnachojadili?

Umeona kuna mahali Magufuli kasema wameshafikia lengo la dola elf 3 kabla ya 2025?

Je hiyo dola 3000 ndio malengo ya WB ili kuitangaza nchi kuingia katika uchumi wa kati?
 
Kama Kikwete Anatuambia Mkapa Ndiye Aliyeanzisha Sera Ya Kwenda Uchumi Wa Kati Na Ndiye Aliyetengeneza Uchumi Na Ukawa Unakua Kwa Asilimia 7 Na Kwanzia Hapo Haujawahi Kutetereka! Sasa Huyu Tunayemsifu Na Kumuabudu Kila Siku Kwamba Hajawai Kutokea Kama Yeye Kafanya Nini?

Kikwete Leo kamaliza kila kitu nisikie mtu anamsifia mtu mbele yangu atakula Kofi moja tu

Mr mkiki.
 
Kwani Vigezo vya World bank mpaka Nchi iingie kwenye List ya Nchi zenye uchumi wa kati ni vipi???? Au na wewe unakuwa goi goii tu... Leo mkweree kapigaa madongoo sanaa aiseee..
 
Kwani Vigezo vya World bank mpaka Nchi iingie kwenye List ya Nchi zenye uchumi wa kati ni vipi???? Au na wewe unakuwa goi goii tu... Leo mkweree kapigaa madongoo sanaa aiseee..
Kwahiyo world bank walidanganya au unatak kumaanisha nini?
 
Malengo ya mpango wa Taifa ni kufikia pato la dola 3000 mwaka 2025!Sasa hiyo ya kusema tumefikia uchumi wa kati kabla ya muda yanatoka wapi?
 
Hawakudanganya lakini sasa Why mkwere aikosoe ile kauli kwa namna flani ambayo watu kama wewe mnaona amesifia ilaa ni Bango kubwaa tu kwa Jiwe...
Mkwere kaikosoaje? Kwamba kapingana na WB?

Mbona mkwere alikuwa wazi kabisa tena katumia kiswahili kwamba japo tumeshafika uchumi wa kati ila lazima tujitahidi kufikisha lengo la Mkapa la uchumi wa dola elf 3 kwa kila mtz, ili kuyaenzi maono yake.

Hapo kampiga kijembe wapi?
 
Kwani aliyetangaza Tanzania imeingia ktk nchi zenye uchumi wa kati ni rais Magufuli au ni WB???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…