Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Sasa hujioni kama wewe nawe ndio mpumbavu?Tweet ya Magu akijifagilia kufikia malengo ya 2025 mwaka 2020, hebu jaribu kumuelewesha huyo kilaza unayebishana nae Kama ataelewa maana Mimi nimenu ignore tayari, too foolish
View attachment 1520831
Hiyo twit unaona inafanana na alichoongea Kikwete na mnachojadili?
Umeona kuna mahali Magufuli kasema wameshafikia lengo la dola elf 3 kabla ya 2025?
Je hiyo dola 3000 ndio malengo ya WB ili kuitangaza nchi kuingia katika uchumi wa kati?