[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona mnajifariji, hivi alietangaz kuingia uchumi wa kati ni WORLD BANK au Magufuli?Tulieni jiti limeingia fresh hilo na mkileta ubishi ndiyo linazidi kuzama dadeq!
Uchumi wa kati wa chini...Kwani Magufuki ndio alisema tuko uchumi wa kati au WB?
Sasa mbona mnakata viuno kushangilia ujinga?Hapana, ina madhara kwa CHAUMA,UDP na CCK-MAENDELEO.
Mkuu achana na haya mataahira ya chadema hakuna wajualo,Kuna watu mbwiga kweli.
Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.
Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.
World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.
Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Kwa hiyo JK kakanusha kwamba hatujafika huko na kwamba WB ni waongo?Uchumi wa kati wa chini...
Deni la kufikia kiwango alichopanga Mkapa,!Huyo Ndio Kikwete hapepesi maneno,amesema kabisa bado tunadeni la 1920 Usd!!
Waziri Mpango: Tumefikia uchumi wa kati kabla ya lengo la 2025"Namnukuu Kikwete:
Tumeshafika kwenye uchumi wa kati lakini si kwa lengo lile la Mkapa la pato la dola elfu 3
Sasa mabavicha yanavyocoment hapa ni kama vile Kikwete amecrash tangazo la WB la tz kufikia uchumi wa kati.
Alafu akietangza uchumi wa kati si Magufuli bali ni WB.
Hapo ndio mnaonekana mazuzu! Hivi Magufuli alijitangazia mwwnyewe au WB ndio walitangaza kulingana na vigezo vyao?Mungu ampemaisha marefu Mh. Kikwete kwa sababu bila yeye kuna mtu atazidi kusema uongo kudanganya umma kwa manufaa yake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaingozwa na mfuga ng'ombe kwahiyo wewe ndio ng'ombe mwenyewe!Kati ya hawa wawili kuna mmoja ni kiongozi na mmoja ni mfugaji wa ng'ombe
Hahahha.. Ccm ni kama maji! Usipoyanywa utaoga,
Sasa unajikuta hutaki kuisifia ccm lakini utaisifia indirect kupitia JK
Sasa kama Kikwete ambaye hayuko madarakani kwa miaka mitano anazijua hizo details huyo MKURUPUKAJI ilikuwaje ashindwe kuzijua?
Ndiyo matatizo yenu ya kurukia chochote kisemwacho bila kuchunguza kwa kina lakini wakisema mabaya wanakuwa ni MABEBERU!
Ulitakiwa uende huko kwa mabeberu uwaulize kuingia uchumi wa kati unaazia kiasi gani, ndo tungejua kama wamempendelea,
Swala la mipango kma nchi havihusiani na kiwango cha kimataifa walichojiwekea.
Usipende kuongelea tu mambo kwa kuwa unaona yanakupa furaha.
Nenda kamuulize huyi kikwete kuhusu mpango wa BRN aliutekeleza kwa kiwango gani na lengo lilikuwa afikie asilimia ngapi na yeye kafikia ngapi?
Je alifanikiwa au laah na kama hakufanikiwa alishindwaje wakati alipanga mwenyewe?
Narudia tumieni akiri mlizopewa, kuna vitu vingine huhitaji kuchangia unakaa kimya,maana ukichangia kwa udhaifu wako kimahaba unaondokewa na heshima ya elimu uliyonayo.
Usiwe mpumbavu,!Waziri Mpango: Tumefikia uchumi wa kati kabla ya lengo la 2025"
Unajua maana ya hiyo kauli na alichoongea Kikwete leo ewe mbumbumbu mshabiki wa Magufuli?
Uko sahihi kabisa rank ya WB ni USD 1962-12000 lkn kauli za mataga kuwa Magufuli kafikia MIC kabla ya muda hii sentensi wewe binafsi unailewaje, au WB ilizipangia muda gani nchi ambazo hazijiangia Mic ziwe zimeingia mpaka mataga waseme jiwe kaingia mic kabla ya muda?Kuna watu mbwiga kweli.
Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.
Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.
World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.
Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Usiwe jinga,,! Kikwete kapingana na WB?Hebu acha ujinga wewe! Unataka kumbishia hata Kikwete?
Mbona jibu simple tu.Botswana wana ngapi? Namibia wana ngapi? Kwa nini hao waweze, ila kwa Tanzania haiwezekani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujinga CCM tunaamini katika kupokezaba kijiti Kikwete alifanya mambo mengi mazuri tu, na Magufuli anaendelea kufanya mambo mengi mazuri kwa nchi yetu. Naona umenasa kwenye mtego wa mabavicha.Nilichogundua humu wengi ni wafanyakazi wa umma so walizoea kupiga pesa za bure now hazipo kwahyo lazima wawe na hasira, mana kila nikijiuliza inakuwaje mupinge mambo makubwa km haya yanayofanyika ss nkawa sipati jibu unakuta mtu anamsifia Kikwete licha ya ufisadi mkubwa enzi zake na kukosekana kwa huduma muhimu mfano kukatika katika kwa umeme n.k, but jibu nimelipata ni kwamba wengi wao ni wafanyakazi wa umma waliozoea pesa za bure lkn pia wengine wametumbuliwa kwa uzembe wao au kufoji na ndiyo maana wana hasira sn [emoji3][emoji3][emoji3]