Ulitakiwa uende huko kwa mabeberu uwaulize kuingia uchumi wa kati unaazia kiasi gani, ndo tungejua kama wamempendelea,
Swala la mipango kma nchi havihusiani na kiwango cha kimataifa walichojiwekea.
Usipende kuongelea tu mambo kwa kuwa unaona yanakupa furaha.
Nenda kamuulize huyi kikwete kuhusu mpango wa BRN aliutekeleza kwa kiwango gani na lengo lilikuwa afikie asilimia ngapi na yeye kafikia ngapi?
Je alifanikiwa au laah na kama hakufanikiwa alishindwaje wakati alipanga mwenyewe?
Narudia tumieni akiri mlizopewa, kuna vitu vingine huhitaji kuchangia unakaa kimya,maana ukichangia kwa udhaifu wako kimahaba unaondokewa na heshima ya elimu uliyonayo.