Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Tulieni jiti limeingia fresh hilo na mkileta ubishi ndiyo linazidi kuzama dadeq!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Naona mnajifariji, hivi alietangaz kuingia uchumi wa kati ni WORLD BANK au Magufuli?

Kwanza hata umemsikiliza Kikwete?
 
Hapana, ina madhara kwa CHAUMA,UDP na CCK-MAENDELEO.
Sasa mbona mnakata viuno kushangilia ujinga?

Kwani JK kakanusha kwamba hatujafika ucbumi wa kati?

Alafu alietangza tz kuingia uchumi wa kati ni Magufuli au WB kukingana na vigezo vyao?
 
Kuna watu mbwiga kweli.

Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.

Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.

World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.

Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Mkuu achana na haya mataahira ya chadema hakuna wajualo,

Kama wameshindwa kujua protocol tu z kwenye msiba wataweza wapi mambo ya uchumi haya?
 
Namnukuu Kikwete:

Tumeshafika kwenye uchumi wa kati lakini si kwa lengo lile la Mkapa la pato la dola elfu 3

Sasa mabavicha yanavyocoment hapa ni kama vile Kikwete amecrash tangazo la WB la tz kufikia uchumi wa kati.

Alafu akietangza uchumi wa kati si Magufuli bali ni WB.
Waziri Mpango: Tumefikia uchumi wa kati kabla ya lengo la 2025"

Unajua maana ya hiyo kauli na alichoongea Kikwete leo ewe mbumbumbu mshabiki wa Magufuli?
 
Mungu ampemaisha marefu Mh. Kikwete kwa sababu bila yeye kuna mtu atazidi kusema uongo kudanganya umma kwa manufaa yake
Hapo ndio mnaonekana mazuzu! Hivi Magufuli alijitangazia mwwnyewe au WB ndio walitangaza kulingana na vigezo vyao?
 
Nilichogundua humu wengi ni wafanyakazi wa umma so walizoea kupiga pesa za bure now hazipo kwahyo lazima wawe na hasira, mana kila nikijiuliza inakuwaje mupinge mambo makubwa km haya yanayofanyika ss nkawa sipati jibu unakuta mtu anamsifia Kikwete licha ya ufisadi mkubwa enzi zake na kukosekana kwa huduma muhimu mfano kukatika katika kwa umeme n.k, but jibu nimelipata ni kwamba wengi wao ni wafanyakazi wa umma waliozoea pesa za bure lkn pia wengine wametumbuliwa kwa uzembe wao au kufoji na ndiyo maana wana hasira sn [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kati ya hawa wawili kuna mmoja ni kiongozi na mmoja ni mfugaji wa ng'ombe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaingozwa na mfuga ng'ombe kwahiyo wewe ndio ng'ombe mwenyewe!
 
Kawaumbueni nyinyi mataga na kutaka misifa
Hahahha.. Ccm ni kama maji! Usipoyanywa utaoga,

Sasa unajikuta hutaki kuisifia ccm lakini utaisifia indirect kupitia JK
 
Sasa kama Kikwete ambaye hayuko madarakani kwa miaka mitano anazijua hizo details huyo MKURUPUKAJI ilikuwaje ashindwe kuzijua?

Ndiyo matatizo yenu ya kurukia chochote kisemwacho bila kuchunguza kwa kina lakini wakisema mabaya wanakuwa ni MABEBERU!

Ulitakiwa uende huko kwa mabeberu uwaulize kuingia uchumi wa kati unaazia kiasi gani, ndo tungejua kama wamempendelea,
Swala la mipango kma nchi havihusiani na kiwango cha kimataifa walichojiwekea.

Usipende kuongelea tu mambo kwa kuwa unaona yanakupa furaha.

Nenda kamuulize huyi kikwete kuhusu mpango wa BRN aliutekeleza kwa kiwango gani na lengo lilikuwa afikie asilimia ngapi na yeye kafikia ngapi?

Je alifanikiwa au laah na kama hakufanikiwa alishindwaje wakati alipanga mwenyewe?

Narudia tumieni akiri mlizopewa, kuna vitu vingine huhitaji kuchangia unakaa kimya,maana ukichangia kwa udhaifu wako kimahaba unaondokewa na heshima ya elimu uliyonayo.
 
Hebu acha ujinga wewe! Unataka kumbishia hata Kikwete?

Ngoja asuburi kuona tweet za hakina Zitto et al., wakimsifia aliyosema wakiongezea na takwimu zao za kupinga kilichofanywa na awamu ya tano ndio akili zake zitamrudia ya kuwa aliropoka.
 
Waziri Mpango: Tumefikia uchumi wa kati kabla ya lengo la 2025"

Unajua maana ya hiyo kauli na alichoongea Kikwete leo ewe mbumbumbu mshabiki wa Magufuli?
Usiwe mpumbavu,!

Mpango ndio aliwashawishi WB waitangaze tz kuingia uchumi wa kati?

Kikwete ameongelea dola elf 3 za lengo la Mkapa, hajaongelea lengo la WB.

Umeelewa ewe mbumbumbu shabiki wa mnywa gongo?
 
Kuna watu mbwiga kweli.

Hiyo $3000 ni ya Mkapa (Local) ambayo hata angekuwa Rais wa milele Tz angekufa tu bila kuifikia hata kama mwaka 2060.

Wakenya wenyewe hata $2000 hawajaifikia pamoja na kuwa MIC a decade itakuwa nyie utopolo.

World bank wao ni hiyo $1026-$12,475 ambayo inatumika dunia nzima ku-classfy MIC.

Na hakuna mtu amesema ameingia MIC ya Mkapa,watu wako kwenye ranking ya WB.
Uko sahihi kabisa rank ya WB ni USD 1962-12000 lkn kauli za mataga kuwa Magufuli kafikia MIC kabla ya muda hii sentensi wewe binafsi unailewaje, au WB ilizipangia muda gani nchi ambazo hazijiangia Mic ziwe zimeingia mpaka mataga waseme jiwe kaingia mic kabla ya muda?
 
Nilichogundua humu wengi ni wafanyakazi wa umma so walizoea kupiga pesa za bure now hazipo kwahyo lazima wawe na hasira, mana kila nikijiuliza inakuwaje mupinge mambo makubwa km haya yanayofanyika ss nkawa sipati jibu unakuta mtu anamsifia Kikwete licha ya ufisadi mkubwa enzi zake na kukosekana kwa huduma muhimu mfano kukatika katika kwa umeme n.k, but jibu nimelipata ni kwamba wengi wao ni wafanyakazi wa umma waliozoea pesa za bure lkn pia wengine wametumbuliwa kwa uzembe wao au kufoji na ndiyo maana wana hasira sn [emoji3][emoji3][emoji3]
Acha ujinga CCM tunaamini katika kupokezaba kijiti Kikwete alifanya mambo mengi mazuri tu, na Magufuli anaendelea kufanya mambo mengi mazuri kwa nchi yetu. Naona umenasa kwenye mtego wa mabavicha.
 
Back
Top Bottom