Aliyetangaza vigezo hivyo ni Babu Hashim Rungwe.Sasa mbona mnakata viuno kushangilia ujinga?
Kwani JK kakanusha kwamba hatujafika ucbumi wa kati?
Alafu alietangza tz kuingia uchumi wa kati ni Magufuli au WB kukingana na vigezo vyao?
Pale hata mimi sikuelewa yule mzee alikuwa anaongelea nini... halafu ITV nao naona kama walishtuka wakakata kiaina ile scene, kuja kurudisha ni wakati anaongea mtu mwingine kabisaKuna siku watakuja kuparurana jukwaani hawa.......
......nilimsikiliza na Mzee Msekwa juzi kuhusu kuongeza muda wa urais, nikasema hapa kuna jambo huko ccm linatokota....ingawa alizungumzia Dr Salmin, lakini tunaoweza kuunga dots tulimwelewa vema.
Mlaumu Kikwete aliyeweka wazi kwamba uchumi wa kati tuliopanga kwenye mpango wa 2025 kufika usd 3000,sasa nyie miaka mi5 mmesogeza usd 50 mkapiga MAYOWE kibao sasa kuja kupata hiyo 2000USD itawahitaji miaka karibu 1000 ijayo yaani mpaka mwaka 3000 ndio mnaweza kuwafikisha watakaokuwepo.Deni la kufikia kiwango alichopanga Mkapa,!
Mbona manajifariji sana?
Ungewauliza MATAGA labda na wao walikuwa wamejiwekea muda wao.Uko sahihi kabisa rank ya WB ni USD 1962-12000 lkn kauli za mataga kuwa Magufuli kafikia MIC kabla ya muda hii sentensi wewe binafsi unailewaje, au WB ilizipangia muda gani nchi ambazo hazijiangia Mic ziwe zimeingia mpaka mataga waseme jiwe kaingia mic kabla ya muda?
Hebu acha ujinga wewe! Unataka kumbishia hata Kikwete?
Mbona unaweweseka mkuu? Mi nilisikia kwa Mh. Magufuli kupitia twitter yake.Hapo ndio mnaonekana mazuzu! Hivi Magufuli alijitangazia mwwnyewe au WB ndio walitangaza kulingana na vigezo vyao?
Mm siongelei chama mkuu cna chama mm na wala huyo Magufuli cjawahi mpigia kura, mm naongea mambo yanayoonekana, je unabisha kwamba ufisadi ulitamalaki enzi za Kikwete? Umeme je unabisha kwamba ulikuwa haueleweki enzi za Kikwete? Usiniingize kwenye siasa za uchama cz mm co ccm mwenzio mm ni mzalendo nnayeipenda nchi yng na naona rais wng kazi anayoifanya but cku akivurunda naponda na naongea ukweli.Acha ujinga CCM tunaamini katika kupokezaba kijiti Kikwete alifanya mambo mengi mazuri tu, na Magufuli anaendelea kufanya mambo mengi mazuri kwa nchi yetu. Naona umenasa kwenye mtego wa mabavicha.
Nyie ndo hamkumuelewa JK, yeye kasema malengo ya nchi , kwamba kufikia hiyo 25 kila mwananchi awe na 3000usd, kwa hiyo hayo ni malengo ya mipangao tu, kuna kutimia au kutokutimia
Ninachobishana na nyie ni kwamba magufuri hajajitangaza, kama mnaona hatujafika huko kwenye uchumi wa kati, nendeni mkakate fufaa waturudishe chini.
Huo muda sina sababu nyumbu kazi ni kusifu hata kwa kupotosha ndo maana mchumi kikwete kaliweka hilo jambo Sawa labda nyumbu wanaweza kuelewa!Ungewauliza MATAGA labda na wao walikuwa wamejiwekea muda wao.
Balaa tupu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Unaingozwa na mfuga ng'ombe kwahiyo wewe ndio ng'ombe mwenyewe!
Mmoja ni mpenda sifa na mwingine ni mtaalam haswaSasa malengo ya Nchi ya chama kile kile huwa yanabadilika? Lini yalibadilishwa na kwanini yalibadilishwa?
Mbona hilo kinajukikana?? /hata kufika hapo Mkapa alipandisha kwa zaidi ya dola 450, Kikwete zaidi ya dola 380 na Baba la baba dola 100Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.
Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.
Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.
Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.
Haina haja ya kukata rufaa kikwete ni mchumi anajua vizuri rank za WB sio msahafu zinabadilika Mara kwa Mara juzi tu hapa 2004 middle income ilianzia 826-10065 so ndo maana kikwete anakumbusha tukimbie mchakamchaka lkn tukibweteka na ongezeko la USD 59 kila mwaka utashangaa tena baada ya miaka kumi tumerudi low income countries NazgurMm siongelei chama mkuu cna chama mm na wala huyo Magufuli cjawahi mpigia kura, mm naongea mambo yanayoonekana, je unabisha kwamba ufisadi ulitamalaki enzi za Kikwete? Usiniingize kwenye siasa za uchama cz mm co ccm mwenzio mm ni mzalendo nnayeipenda nchi yng na naona rais wng kazi anayoifanya but cku akivurunda naponda na naongea ukweli.
Magufuli katoa taarifa iliyotokana na WBMbona unaweweseka mkuu? Mi nilisikia kwa Mh. Magufuli kupitia twitter yake.
Magufuli ndio aliitangza tz kuingia uchumi wa kati?john anajichekesha huku roho inamuuma mana anachojua kufanya ni kujenga mabarabara na siyo kukuza uchumi na kupambana na umasikini.