Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Mzee Kikwete aweka rekodi sawa, Uchumi wa Kati waliopanga na Mkapa ni wastani wa dola 3,000 kila Mtanzania

Sasa mbona mnakata viuno kushangilia ujinga?

Kwani JK kakanusha kwamba hatujafika ucbumi wa kati?

Alafu alietangza tz kuingia uchumi wa kati ni Magufuli au WB kukingana na vigezo vyao?
Aliyetangaza vigezo hivyo ni Babu Hashim Rungwe.
 
Kuna siku watakuja kuparurana jukwaani hawa.......

......nilimsikiliza na Mzee Msekwa juzi kuhusu kuongeza muda wa urais, nikasema hapa kuna jambo huko ccm linatokota....ingawa alizungumzia Dr Salmin, lakini tunaoweza kuunga dots tulimwelewa vema.
Pale hata mimi sikuelewa yule mzee alikuwa anaongelea nini... halafu ITV nao naona kama walishtuka wakakata kiaina ile scene, kuja kurudisha ni wakati anaongea mtu mwingine kabisa
 
Deni la kufikia kiwango alichopanga Mkapa,!

Mbona manajifariji sana?
Mlaumu Kikwete aliyeweka wazi kwamba uchumi wa kati tuliopanga kwenye mpango wa 2025 kufika usd 3000,sasa nyie miaka mi5 mmesogeza usd 50 mkapiga MAYOWE kibao sasa kuja kupata hiyo 2000USD itawahitaji miaka karibu 1000 ijayo yaani mpaka mwaka 3000 ndio mnaweza kuwafikisha watakaokuwepo.
 
Uko sahihi kabisa rank ya WB ni USD 1962-12000 lkn kauli za mataga kuwa Magufuli kafikia MIC kabla ya muda hii sentensi wewe binafsi unailewaje, au WB ilizipangia muda gani nchi ambazo hazijiangia Mic ziwe zimeingia mpaka mataga waseme jiwe kaingia mic kabla ya muda?
Ungewauliza MATAGA labda na wao walikuwa wamejiwekea muda wao.
 
Hebu acha ujinga wewe! Unataka kumbishia hata Kikwete?

Nyie ndo hamkumuelewa JK, yeye kasema malengo ya nchi , kwamba kufikia hiyo 25 kila mwananchi awe na 3000usd, kwa hiyo hayo ni malengo ya mipangao tu, kuna kutimia au kutokutimia
Ninachobishana na nyie ni kwamba magufuri hajajitangaza, kama mnaona hatujafika huko kwenye uchumi wa kati, nendeni mkakate fufaa waturudishe chini.
 
Hapo ndio mnaonekana mazuzu! Hivi Magufuli alijitangazia mwwnyewe au WB ndio walitangaza kulingana na vigezo vyao?
Mbona unaweweseka mkuu? Mi nilisikia kwa Mh. Magufuli kupitia twitter yake.
 
Acha ujinga CCM tunaamini katika kupokezaba kijiti Kikwete alifanya mambo mengi mazuri tu, na Magufuli anaendelea kufanya mambo mengi mazuri kwa nchi yetu. Naona umenasa kwenye mtego wa mabavicha.
Mm siongelei chama mkuu cna chama mm na wala huyo Magufuli cjawahi mpigia kura, mm naongea mambo yanayoonekana, je unabisha kwamba ufisadi ulitamalaki enzi za Kikwete? Umeme je unabisha kwamba ulikuwa haueleweki enzi za Kikwete? Usiniingize kwenye siasa za uchama cz mm co ccm mwenzio mm ni mzalendo nnayeipenda nchi yng na naona rais wng kazi anayoifanya but cku akivurunda naponda na naongea ukweli.
 
Kifo hiki pamoja na kutusikitisha, kimetuelimisha mengi sana. Watu wangeongopa sana kwa ajili ya kura. nadhani TBC pia watapunguza chumvi yao sasa.
 
Sasa malengo ya Nchi ya chama kile kile huwa yanabadilika? Lini yalibadilishwa na kwanini yalibadilishwa?

Nyie ndo hamkumuelewa JK, yeye kasema malengo ya nchi , kwamba kufikia hiyo 25 kila mwananchi awe na 3000usd, kwa hiyo hayo ni malengo ya mipangao tu, kuna kutimia au kutokutimia
Ninachobishana na nyie ni kwamba magufuri hajajitangaza, kama mnaona hatujafika huko kwenye uchumi wa kati, nendeni mkakate fufaa waturudishe chini.
 
Ungewauliza MATAGA labda na wao walikuwa wamejiwekea muda wao.
Huo muda sina sababu nyumbu kazi ni kusifu hata kwa kupotosha ndo maana mchumi kikwete kaliweka hilo jambo Sawa labda nyumbu wanaweza kuelewa!
 
Kikwete naona kaweka sawa kuhusu hizi propaganda kuwa Magufuli kafikia uchumi wa Kati kabla ya muda uliopangwa.

Kikwete kaweka sawa kuwa Uchumi wa Kati uliopangwa ni dola 3,000 na sio hii 1080. Na kampa Magufuli challenge kuwa 2025 inatakiwa awe amefikia kipato hicho kwa kila mtanzania.

Pia kaweka rekodi nyingine sawa kuwa Uchumi kukua kwa asilimia 7 Ni Mkapa ndio aliweka na baada ya Mkapa haijawahi kushuka hiyo Kasi.

Hii ni tofauti na propaganda za Sasa hivi kuwa Magufuli ndio kapandisha Kasi ya ukuaji Uchumi.

Mbona hilo kinajukikana?? /hata kufika hapo Mkapa alipandisha kwa zaidi ya dola 450, Kikwete zaidi ya dola 380 na Baba la baba dola 100
 
Mm siongelei chama mkuu cna chama mm na wala huyo Magufuli cjawahi mpigia kura, mm naongea mambo yanayoonekana, je unabisha kwamba ufisadi ulitamalaki enzi za Kikwete? Usiniingize kwenye siasa za uchama cz mm co ccm mwenzio mm ni mzalendo nnayeipenda nchi yng na naona rais wng kazi anayoifanya but cku akivurunda naponda na naongea ukweli.
Haina haja ya kukata rufaa kikwete ni mchumi anajua vizuri rank za WB sio msahafu zinabadilika Mara kwa Mara juzi tu hapa 2004 middle income ilianzia 826-10065 so ndo maana kikwete anakumbusha tukimbie mchakamchaka lkn tukibweteka na ongezeko la USD 59 kila mwaka utashangaa tena baada ya miaka kumi tumerudi low income countries Nazgur
 
john anajichekesha huku roho inamuuma mana anachojua kufanya ni kujenga mabarabara na siyo kukuza uchumi na kupambana na umasikini.
 
Na pia kasema baada ya kumaliza kutoa maelezo yake Ni kwamba garama za kushtukizwaa kusema ndio hayohayo kusema ukweli
 
john anajichekesha huku roho inamuuma mana anachojua kufanya ni kujenga mabarabara na siyo kukuza uchumi na kupambana na umasikini.
Magufuli ndio aliitangza tz kuingia uchumi wa kati?
 
Back
Top Bottom