Mzee Kikwete, dunia ni ya utandawazi kila jambo litajieleza. Legacy yako ipo tu

Mwamba ndo angekufa kuzembe namna ile. Kifo dhalili kabisa ht masikini alowaita wanyonge hawafi kilofa vile halafu ndo mnamuona eti mwamba
Wewe unajua kifo chako kitakuwaje? Unaongea utadhani wewe una mamlaka na pumzi uliyonayo,pengine wewe utakufa ovyo na utaishia kuwa mzoga wa kuliwa na fisi,nani ajuaye kesho yake?
 
Kikwete alikuwa anamuonea wivu Magufuli kwa mafanikio yake. Miaka kumi ya Kikwete ni mitano ya Magufuli
Kiukweli labda tuseme mitatu.. jambo ambalo lilitakiwa kumpa kiwete sifa ni mkongo wa mawasiliano.. lakini sahivi ndio umekuwa kama ulikiwa uwekezaji wakuja kufanya upigaji wa milele[emoji23]

Vifurushi vya Internet vipo juu mno wadau.. kitendo cha sisi kuwa na huu mkongo bei ilitakiwa iwe chini zaidi ya hapa wakuu
 
Tuendelee kuanika ukweli,maana hawa jamaa wamemkamia hayati Magufuli,na hawezi jitetea,ni jukumu letu kumtetea
 
Lakini na yeye Mpoto kaupata ujumbe sawia,watu wamemsuuza haswa kwenye page yake kule Instagram mpaka amelimit comment.
Hahahaaa... lazima wampopoe anavojifanyaga anachana haogopi imekuaje hahahaaa...
Mambo ya siasa🙌🙌🙌
 
Mkuu nahisi una wivu
 
Shida hamfuatilii tu mambo, siku ya kuweka jiwe la Msingi..Mh. Kikwete aluongea historia ya ujenzi wa Ikulu Dodoma mbele ya mh. Magufuli, na yote yalikuwa sahihi kama alivyoongea Jana.

Shida mnapenda kusikia kinachowafurahisha tu.
 
[emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957] mkwere kaingiza mambo ya UDOM utafikri na yenyewe ni ikulu
Mkwere anajisifia mwenyewe; UDOM alipiga hela za NSSF wakishirikiana na Ramadhan Dau, mpaka leo wafanyakazi wamasota hawapewi hela zao wakistaafu!! Mkwere hana soni!!
 
Kazi kwelikweli,mmoja yeye alikuwa bingwa wa trip, mwingine alijikita kuijenga nchi yake kwa mapato ya ndani
Kusema kuwa mmoja alibakia nchini akijikiitila kujenga nchi kwa mapato ya ndani ni uwongo mkubwa. Afadhali ungesema kuwa mmoja aliamua kutosafiri, akianzisha miradi mbalimbali iliyokuwa ikijengwa kwa pesa za mikopo, kuwapora matajiri, na kodi halali kutoka kwa wannachi, lakini wananchi wakidanganywa kuwa miradi yote inajengwa kwa pesa za ndani.
 

Sawa yupi bora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…