mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Mkanye Jakaya Kikwete ambaye hakuwa kwenye ratiba ya kuongea leo,ikalazimishwa aongee,alichofanya ni kupambanua legacy yake kwa kueleza mambo ya UDOM na Kuala Lumpur,usiichezee legacy maazeeHili suala la legacy mbona linakua mjadala kila kukicha? JPM yapo amelifanyia Taifa na watanzania wanajua!! So sioni mantiki ya kuipagania legacy wakat kila awamu inajulikana nn ilifanya!!
Wewe ndo unamuona kwenye makamera. Wewe ndo mwenye kipimo kuwa amezidisha kuonekana.Jakaya mwambieni,anachemka sana kutaka makamera kila muda, watanzania werevu kwa sasa,hawadanganyiki tena,akubali muda wake wa uongozi umepita
Kumbe nawewe umeona eeehhh hahaa! Mi mwenyewe alipoanza kuflow sifa za wa awali nikasubiria sifa kemkem za jiwe yani kwa nature ya mjomba nilijua kwa Mwamba angeuaaaaaaa haaaa dakika Mbili nyingi ni shwaaaa kahamia kwa mama ππ!Alikuwa anadeshi tu ,halafu mpoto inaonekana wimbo ulihaririwa,yaani kwa Magufuli kapita kama mwewe,ila kwa Jakaya alipiga kambi,yaani watu wako hai ila wanaendelea kumfanyia dhulma hayati Magufuli,dhambi sana hii
Thetallest kuna eneo kwakwambia unaupande wako kuhusu huu mtifuano ispokuwa unajifichia kwenye ilaniJK alikuwa ni mtandao, yeye na Lowassa walianzisha hii tabia ya kubagua watu kwa urafiki wao. JPM akaja na tabia ya kutazama mtu anatoka sehemu ipi ya TZ.
Huko katika vikao vya halmashauri walipageuza kuwa ni nyumbani kwao, wakitaka kumteta mtu wanaanza kuongea kisukuma, kibaya zaidi hawakujiweka katika kundi la binadamu.
Mtajamba sana na badoNa hii tabia muasisi wake ni Magufuli.
Kabla ya Magufuli hakukuwa na kundi hili la sukuma gang
Ule ujumbe wa mstaafu kuwashwa uliekezwa kwake ila huwa hajitambui huyoNikuombe mzee wangu Jakaya, hebu jaribu kutulia, usilazimishe mambo, mema yako yapo wazi. Jaribu kuwa kama kina Dr sheiin, Mzee Mwinyi, ni watulivu sana, hili la ujenzi wa Ikulu ya Dodoma hauhusiki kabisa ulilipa kisogo.
Hata sijapanick, bado saaaaaana; na kimsingi sina sababu. Uliniforce tu kuapply ile 'garbage in, garbage out!Umepaniki bro,huu mchezo hautaki hasira
Hao dawa yao ni kikwete na samia tu; hao watu ni lions ambao hawajiconcern themselves with the opinions of the sheep! Wanapiga makelele yao ya kijinga weee, wao wanawapuuza na kuendelea tu na shughuli zao huku wakiwa na tabasamu zao murua kabisa bila chuki na mtu.Kuna watu wana ideology za kipuuzi sana. Hawawezi kusifia kazi nzuri za JPM bila kushambulia wengine.
Kusema awamu zilizopita hazikufanya kitu na bila awamu ya 5 pasingekwa na kitu ni UPOTOSHAJI wa kijinga.
JPM ameingia ikulu baada ya kazi nzuri ya uwaziri chini ya maraisi watangulizi. Sasa kama hakuna kilichofanyika ni kazi zipi alikuwa anafanya akiwa waziri mpaka CV ikaonekana?
NYERERE ANA SEHEMU YAKE, MWINYI ANA SEHEMU YAKE, MKAPA ANA SEHEMU YAKE, KIKWETE ANA SEHEMU YAKE, MAGUFULI ANA SEHEMU YAKE NA SAMIA ATAKUWA NA SEHEMU YAKE.
π€£π€£π€£π€£Ule ujumbe wa mstaafu kuwashwa uliekezwa kwake ila huwa hajitambui huyo
AminaMzee wetu Jakaya amesema aliyoyasema na wengine wamesema waliyoyasema
Yote heri
Lakini kweli,aisee!Ule ujumbe wa mstaafu kuwashwa uliekezwa kwake ila huwa hajitambui huyo
Endelea kumpa sifa za kijinga,kila raia kaamka kwa sasa,na uhuni unamwisho wake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole sana, poleni sana!!
Humjui kikwete, hiyo ndo namna yake ya kudeal na wapumbavu, washamba na wakuja. Unatupa kitu chako cha kishamba anakiepuka kimtindo wa kimjini kama hivyo na kukuachieni washamba wenyewe mkiteswa/ kuhangaishwa na ushamba wenu wenyewe huku yeye akitabasamu bila stress yoyote. One unavyoteswa na fikra hizo sasa, uliza ye yupo wapi baada ya hapo; unaweza kuta ametulia zake kijiweni anapiga stories na kina mpoki au konde boy!
Tumeona wengi naona alikuwa anaangalia upepo Ila walichofanya sio kizuri halafu Kwa jakaya kasifia jakaya mwenyewe alikuwa kakunja USOπKumbe nawewe umeona eeehhh hahaa! Mi mwenyewe alipoanza kuflow sifa za wa awali nikasubiria sifa kemkem za jiwe yani kwa nature ya Mpoto nilikua kwa Mwamba angeuaaaaaaa haaaa dakika Mbili nyingi ni shwaaaa kahamia kwa mama ππ!
πOne unavyoteswa na fikra hizo sasa, uliza ye yupo wapi baada ya hapo;
Umeona eeh hata mimi nimeshangaa mpoto kupita kama mwewe fasta mno sijui alikatazwa au aliangalia mazingira mana nchi hii ina unafiki wa kiwango cha lamiAlikuwa anadeshi tu ,halafu mpoto inaonekana wimbo ulihaririwa,yaani kwa Magufuli kapita kama mwewe,ila kwa Jakaya alipiga kambi,yaani watu wako hai ila wanaendelea kumfanyia dhulma hayati Magufuli,dhambi sana hii
Naunga mkono hoja yako kwa asilimia mia mojaKatika hali ya kawaida ukisema sehemu iliyopangwa kwaajili ya ikulu ikajengewa chuo kikuu maana yake nini kama siyo kuzika wazo la kuhamia Dodoma. Chuo kiku hakiwezi kuwa na hadhi kubwa kuliko ikulu
Na hiyo ndio maana yake mpango wa kuhamishia serikali Dodoma sifa zitabaki kwa JPM aliedhubutu kufanya hivyo ukitoa awamu ya kwanza iliyokuja na wazo zingine zote zilizofata mpango ulikuwa haupo.... hamna cha kwenda kuangalia mfano Kuala Lumpur au sijui wapi.Katika hali ya kawaida ukisema sehemu iliyopangwa kwaajili ya ikulu ikajengewa chuo kikuu maana yake nini kama siyo kuzika wazo la kuhamia Dodoma. Chuo kiku hakiwezi kuwa na hadhi kubwa kuliko ikulu
Aibu sana,ila wajifunze kwamba kila wanachofanya kinafuatiliwa kwa makiniUmeona eeh hata mimi nimeshangaa mpoto kupita kama mwewe fasta mno sijui alikatazwa au aliangalia mazingira mana nchi hii ina unafiki wa kiwango cha lami