Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

akiwa naibu spika kikwete hakuwa rais. jk kaanza na spika samuel sitta na naibu anna makinda mpaka anamaliza urais,someni historia kabla ya kutoa hoja
Acha kupiga siasa mfu boss hapa jukwaani. Spika wa 2010-2015 alikuwa Anna Makinda, yeye alikuwa Naibu wake, kabla ya 2015-2020 kuwa Spika kamili. Unasisitiza nisome historia ambayo ww mwenyewe huijui!
 
Back
Top Bottom