Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

Ila michadema bwana, Hali waliyo nayo Sasa imekuwa kama wale machokoraa wanaotangatanga pale kariakoo. Wakati boya lao linalowaongoza (polepole) jana limeanza kuongelea vitu vya kijinga kabisa kama kuchambua kitoto kabisa hotuba ya nchimbi, hii miboya yake inakuja na hoja ya kingese kabisa eti jk hajaongea msibani (utafikiri anapanga mwenyewe kuongea au kutokuongea). Bure kabisa haya mawehu a.k.a manyumbu ya lissu!!

Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, piga kazi mamaaaaaa.
 
Mbona we ndo unaongea tope na unajiita doctori? So unaona umempaisha mama kwa huu uchafu?
 
Hata kifo cha Lowassa hakupewa mic kuongea, kwa historia yake na EL alipaswa kupewa japo dakika tano za kuongea, lakini hata jina lake halikutajwa siku ile.

Hii maana yake nini, JK amekosa busara, ndio maana matukio muhimu anafichwa.
Mlivyo na wivu na jk utafikiri aliwaposa pamoja na mama Salma halafu akaenda kwa Salma badala ya kwenu.
 
Mbwiga kweli wewe! Samia alishapaa kitambo tu na upaaji wake hauhitaji misiba, hilo labda ajaribu kutumia lissu

Matusi ya nini doctori, mama akisikia jina la Lissu tu anatamani kuingia uvunguni! So kanunua yutongi 50 akashindane na Mwalimu, mtangazaji wa channel 10 mzanzibari? 😛 😛
 
Everything is fair in love and war!!!! Kalagabahoo!
 
Mtetee vinavyomake sense basi wakubwa hata kama anawalipa, au anonymity ndo inawapa ujasiri na kiburi kwamba watoto wenu hawatakuja kujua baba doctori chawa alikua anamwaga tope tu jf?
 
Back
Top Bottom