Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

akiwa naibu spika kikwete hakuwa rais. jk kaanza na spika samuel sitta na naibu anna makinda mpaka anamaliza urais,someni historia kabla ya kutoa hoja
Utakuwa unakumbuka historia matako! Ina maana Ndugai alianza unaibu Spika enzi ya Jiwe? Kuwa na kumbukumbu mkuu kabla hujakosoa wenzio!
 
Kikwete kagoma kumtaja Polepole safari hii amejikaza sio kawaida yake.
 
wakati yeye ni rais,marehemu alikuwa mbunge wa kawaida,maspika walikuwa ni samuel sitta na anna makinda,hivyo hawezi kuwekwa kwenye ratiba
Wakati akiwa rais 2010-2015 Job alikuwa naibu Spika,akiwa mwenyekiti wa chama 2015 November kamati kuu ya CCM ilimteua Ndugai kuwa Spika wa bunge.
 
Shoka moja mbuyu chali!! Polepole katisha alisema mhuni kila alipo Rais nae yupo na kuongeaongea maujingaujinga,,,sijui kakwama wapi awamu yake alipalilia democrasia sasa hivi yuko kimya dhidi ya upokaji wa haki
 
wakati yeye ni rais,marehemu alikuwa mbunge wa kawaida,maspika walikuwa ni samuel sitta na anna makinda,hivyo hawezi kuwekwa kwenye ratiba
Si kweli ! Aliongea wakati wa msiba wa Cleopa Msuya ! Kwani wakati Msuya akiwa waziei mkuu kikwete alikua rais?
 
Hata kifo cha Lowassa hakupewa mic kuongea, kwa historia yake na EL alipaswa kupewa japo dakika tano za kuongea, lakini hata jina lake halikutajwa siku ile.

Hii maana yake nini, JK amekosa busara, ndio maana matukio muhimu anafichwa.
Mkuu kama hawakumpa mike basi waliopanga hiyo ratiba walikuwa wana nia njema.
Unajua hii migogoro ya viongoz huwa inaleta taswira mbaya pale mmoj wao apatwapo na madhira.
Raia na wanafamilia wanakuwa makini wakimchora hasimu wa marehemu kitu ambacho mtu anaweza poteza focus kabsaa.
 
Angezungumza wadau pia wangelalamika 😄

Ova
Nadhani amekuwa more predictable mkuu. Hivi unadhani alivoongea Anna makinda na Tulia Aksoni yupi ambaye speech iko valid.
Tatzo ni kujibu vitu vya mtandaonu kwenye isue seriouz,na huku wanajua kabsaa raia watareacts isivyo.
 
Ulitaka kusemaje kwenye hii aya mkuu.?
Hii migogoro yao huwa recorded kwa vichwa vya watu.
Na utakuta muathirika hajafanya kosa lililo wazi kisheria kwa mtu wala taifa, ila mgogoro unatoka front page.
Sasa anapofariki ilitakiwa hao mahasimu washerehekee badala yake wanaanza stori za kumpamba marehemu.
Hapo macho ya ndugu na raia na waombolezaji yanasemaga kale kamsemo huh ni uongooo!
 
Kuna mambo mawili ya Slow slow yamenishangaza
1. Mgombea mmoja Jana akichukua form alibadili salamu yake, ameonyesha humbleness ya hali ya juu kama kweli ameona kosa lake la kuishusha chini salamu inayomtanguliza Mungu

2. Leo mic imezimwa, naipongeza taasisi kwakuona kuwa heshima ya Mkuu haitakiwi kupunguzwa na yeyote. Tumeapa Kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ngao inayobebwa Kwa awamu na Kwa ridhaa ya watanzania

Kesho nini kinafuata? Tanzania njema inachomoza taratibu bila kujalisha nani atakuwa kwenye usukani, watanzania Wana nafasi ya kuamua tena, glory be to God!

Slow slow unatisha ila naomba nikuambie na wewe ulituonyesha uko arrogant wakati una power, lugha kama "unajua viet wewe", na juzi tena umerudia huyu ni wakuzungumza na Mimi? Kwani wewe nani tusizungumze na wewe? Kama hata Mungu katupa nafasi ya kuzungumza naye seuze wewe kiumbe chake? Ishara ya kiburi tabia kuu ya wote walioanguka kama Malaika wa Nuru i.e Kerubi aliye aminiwa kuwa mpiga sifa mwenye vipaji vya uimbaji mbinguni. Mimi naKuambia haifai hiyo Kwa mtu unayesema Yesu kwako ni Bwana, unahitaji rehema, tubu sasa Ili jina la Mungu lisitukanwe kwaajili yako....Be humble hata kama Mungu amekupa upendeleo, Yeye aweza kukufanya kama mfalme Nebukardneza ukaenda kula nyasi porini kama ng'ombe.

Lakini naiombea nchi yangu amani pamoja na wote wanaoipigania Kwa nia njema bila kujali maslahi binafsi, tupo pamoja. Tanzania njema is a must, it's a decree?
 
Polepole aka Makenika wa taifa kahudhuria?
 
Back
Top Bottom