Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,814
- 133,717
Kuna uzi unamtaka JK ajiepushe na siasa nawe tena unakuja na uzi kuuliza mbona hajaongea 😂 yn sisi Wabongo n watu wa kulalamika tuu hata mfanyiwe lipi mtalalamika tuuPolepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya