Kipindi cha Kikwete alikuwa naibu speakerwakati yeye ni rais,marehemu alikuwa mbunge wa kawaida,maspika walikuwa ni samuel sitta na anna makinda,hivyo hawezi kuwekwa kwenye ratiba
Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
ILA Wabongo aisee 😂😂😂😂😂😂Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Afadhali akae kimya tu. He’s useless!Polepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Sisi tunamuongelea kiongozi wa kisiasa, huyu ni public figure. Bahati mbaya ubongo wako umejaa ujinga huelewi hata JK ana impact gani kwa taifa akifanya mambo kinyume.Mlivyo na wivu na jk utafikiri aliwaposa pamoja na mama Salma halafu akaenda kwa Salma badala ya kwenu.
Kwani mpaka Sasa Kuna hoja yoyote humu mpaka tutor hoja?!!!Mtetee vinavyomake sense basi wakubwa hata kama anawalipa, au anonymity ndo inawapa ujasiri na kiburi kwamba watoto wenu hawatakuja kujua baba doctori chawa alikua anamwaga tope tu jf?
Kakufanyia lipi kinyume, kutokuongea msibani ambako mngepata mengine mengi ya kusema na kuzusha kutoka kwenye hicho ambacho angeongea?!!!!Sisi tunamuongelea kiongozi wa kisiasa, huyu ni public figure. Bahati mbaya ubongo wako umejaa ujinga huelewi hata JK ana impact gani kwa taifa akifanya mambo kinyume.
Bahati mbaya sana una akili fupi, sijui hata unaelewa kuwa una akili fupiKakufanyia lipi kinyume, kutokuongea msibani ambako mngepata mengine mengi ya kusema na kuzusha kutoka kwenye hicho ambacho angeongea?!!!!
Kwahiyo wewe ndo mfano wa mtu mwenye akili ndefu huko kwenu?!!!🤣🤣🤣🤣🤣Bahati mbaya sana una akili fupi, sijui hata unaelewa kuwa una akili fupi
Dr wa manesi kuwa makini sio mda utakufa na ukimwi, kama kila nesi wewe ndo dr wake kwishaIla michadema bwana, Hali waliyo nayo Sasa imekuwa kama wale machokoraa wanaotangatanga pale kariakoo. Wakati boya lao linalowaongoza (polepole) jana limeanza kuongelea vitu vya kijinga kabisa kama kuchambua kitoto kabisa hotuba ya nchimbi, hii miboya yake inakuja na hoja ya kingese kabisa eti jk hajaongea msibani (utafikiri anapanga mwenyewe kuongea au kutokuongea). Bure kabisa haya mawehu a.k.a manyumbu ya lissu!!
Mama Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, piga kazi mamaaaaaa.
tukio linatokea kwao naye yeye ashawahi kuwa mbunge eneo hilo ashakuwa rais wa nchi,ni haki aongeeKwa hiyo ni msemaji wa mkoa wa Pwani?
Wewe ndiye unatakiwa kusoma historia.akiwa naibu spika kikwete hakuwa rais. jk kaanza na spika samuel sitta na naibu anna makinda mpaka anamaliza urais,someni historia kabla ya kutoa hoja
Unamwekea maneno mdomoniPolepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Sahihi kabisaWewe ndiye unatakiwa kusoma historia.
Ndugai kawa naibu spika wa Bunge wakati wa awamu ya pili ya JK
Vitoto vya siku mna udumavu mkubwa wa akili, huu ni uzi? Mnapenda kujadili makamasi yaliyoko kwenye ubongo wa mpumbavu km huyuPolepole una nongwa ,,mzee wetu kaona akae kimya
Lione hili zombie, hawa vijana ni janga kwa Taifa,Na bado,
There is more to come,
Karma is a bitch!
We babako unamfahamu? Umeshamwona? We ni mtoto wa single mamaKikwete ni mzee wa ovyoo sana.
Hana busara labda vijembe