Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

Mzee Kikwete hajapenda kuzungumza leo msibani

Mmeanza kupangia hadi watu wakuongea nakukaa kimya.Angekua kwenye ratiba ya wazungumzaji angezungumza.Ujinga wa pole pole unaishia mitandaoni.Tupunguze ujinga mdogo mdogo.
Polepole akitaka kuzungumza wanazima mitandao alafu alafu unaleta porojo acha porojo mtu ambae hana Impact unamfungia mitandao kizuri cha jiuza.... Ukiona Lissu ujue ana Impacts kubwa ndo maana yuko ndani ambao hawana impact tunawaona wakina zitto na Mpina na Salumu. Acheni porojo kwenye masuala ya msingi
 
akiwa naibu spika kikwete hakuwa rais. jk kaanza na spika samuel sitta na naibu anna makinda mpaka anamaliza urais,someni historia kabla ya kutoa hoja
Huna akili wee, wakati Makinda akiwa Spika, naibu alikua nani? Na wakati huo Rais alikua nani?
Wee ndo usome historia kabla ya kuropokaa.
Lol
 
Hata kifo cha Lowassa hakupewa mic kuongea, kwa historia yake na EL alipaswa kupewa japo dakika tano za kuongea, lakini hata jina lake halikutajwa siku ile.

Hii maana yake nini, JK amekosa busara, ndio maana matukio muhimu anafichwa.
Sio Dkk 5, yeye ndo alipaswa kuongea kwa kirefu zaidi.
Ajitathimini huyu mzee, na baadae Rostam akalipua 💥, Lol
 
KIkwete hatulii aisse kila msiba yupo au anafafuata ubwabwa.heri angehamia chaumma akanadi sera ya ubwabwa.watu wa pwani na ubwabwa hawajambo.
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣😂😂😂🏃🏃🏃💯💯💯
 
Back
Top Bottom