Ndio, alizunguka Afrika kumpigia kampeni Ndugulile. Sijui tu kwa nini hatukuona picha kama kwa Prof. Janabi. Ila alikuwa kampeni meneja wake pia
Fafanueni basi apumzike katka lepi mana tulimshuhudia Nyerere akihangaika mpaka anakufa. Alifikia hata kutuchagulia Rais na alizunguka nchi nzima kumnadi. Kila akiamka yeye ilikuwa kumsema Mwinyi. Hatukuwahi kusikia mkimwambia apumzike.
Warioba kadhalika na press zake za kuinanga serikali mshamwambia apumzike?
Kulitumikia vipi wakati keshastaafuFriends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Mfano wako hauna mashiko hao marais marehemu wao walikuwa wakikemea mabaya na kutoa ushauri mzuri, Kikwete yeye kaingilia mchakato wa Uteuzi majina ya ugombea Urais kwa kulazimisha jina moja tu kienyeji na pia yupo na Rostam Azizi kumshinikiza Mama amweke jela Lisu kisa aligusa masilahi yao huko kwenye ununuzi mbuzi bwerere kwa Mgodi wa thamani ya Mabilioni ya DolaFafanueni basi apumzike katka lepi mana tulimshuhudia Nyerere akihangaika mpaka anakufa. Alifikia hata kutuchagulia Rais na alizunguka nchi nzima kumnadi. Kila akiamka yeye ilikuwa kumsema Mwinyi. Hatukuwahi kusikia mkimwambia apumzike.
Warioba kadhalika na press zake za kuinanga serikali mshamwambia apumzike?
kanisa lilichukuwa mgao wake wa escow mapema tuh,tundu lisu alisema moja kwa moja list ya wanufaika
kwa ufupi huwezi kulitoa kanisa na wizi ndani ya nchi hii
Wazuri hawafiWahuni mmeamua kufa kisabuni?
Ahaaaa sasa nimewaelewa.Mfano wako hauna mashiko hao marais marehemu wao walikuwa wakikemea mabaya na kutoa ushauri mzuri, Kikwete yeye kaingilia mchakato wa Uteuzi majina ya ugombea Urais kwa kulazimisha jina moja tu kienyeji na pia yupo na Rostam Azizi kumshinikiza Mama amweke jela Lisu kisa aligusa masilahi yao huko kwenye ununuzi mbuzi bwerere kwa Mgodi wa thamani ya Mabilioni ya Dola
Haki kwa asilimia mia moja haijawahi kuwepo ndani ya JMT, rais awe muislam awe mkristo.Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Obama aliunda team ya wanasiasa wastaafu kwa ajili ya kumshauri kwenye masuala nyeti.Lini umemskia biden akimshauri trump tangu amalize muda wake? Msoga kuna mashamba ya mananasi ajikite huko afungue na kiwanda cha juice ya nanasi watu wapate ajira kodi zilipwe.we chawa vepe?
Mshauri wa rais. Sio lazima kila kitu kiandikwe kwenye katiba.Kikatiba kazi ya Rais Mstaafu ni nini?
Kapitishwa vipi juu kwa juu wakati hayati JPM alimchagua na kumtangaza kwenye mkutano mkuu wa 2015?.Hakuna mtu anayepinga Kikwete kulitumikia taifa kama rais mstaafu kinachopingwa ni uharamia wanaoufanya kama kumpitisha Samia juu kwa juu kuwa mgombea wakati hakusitahili.
Sasa msoga anashauri nyeti gani?Obama aliunda team ya wanasiasa wastaafu kwa ajili ya kumshauri kwenye masuala nyeti.
Tatizo hatujui ugumu wa nafasi ya urais tunakuwa wepesi kuona upungufu na kuutolea maneno mengi ya lawama.
Wee ni kilaza km vilaza wengine.Friends and Our Enemies,
Maaskofu wa kanisa katoliki wamefikia sasa hatua mbaya katika siasa za nchi hii,kiufupi sasa kanisa limevuka mipaka.
Rais Mstaafu kikwete ni Rais pekee Mstaafu aliehai katika nchi hii.
Suala la Rais Mstaafu kushiriki katika shughuli mbali mbali za kitaifa na kimataifa siyo suala geni,lipo suala hili tokea zama na zama..na kikwete wala siyo kuwa ni wa kwanza kufanya hivyo.
Kikawaida duniani mara nyingi kama Rais aliepo madarakani ana taka kufanya maamuzi au kwa namna yoyote katika utendaji wake anaona kuna jambo ina mpasa aombe ushauri au uzoefu wa kiutendaji sehemu pekee ambayo anaweza kupata ushauri huo ni kwa Mtangulizi wake au kwa msaafu yeyote kadiri vile atavyoona yeye inafaa.
Kosa la kikwete ni lipi hadi maaskofu waje kushupaza shingo zao kwake?
Kwani Maaskofu wanajiona wao ni nani hasa ndani ya nchi hii hadi wawe na jeuri ya kutoa matamko ya kuingilia utendaji wa serikali au hata kwa hao viongozi wastaafu??na walivyo na unafiki na udini sasa Warioba kila siku anasimama na kukosoa serikali hujawahi waskia wakisema chochote juu ya warioba.
Sasa kanisa katoliki wakae nao hao maaskofu wawaeleze kuwa nchi hii siyo mali ya kanisa,na kanisa halina hati miliki yoyote ndani ya nchi hii wala uongozi wa nchi hii.
Zile zama za mfumo kristo ndani ya nchi hii zimeisha na hazitakuja zitokee tena,na hilo tutahakikisha haliwezi kujirudia.
Maaskofu wafanye kazi zao za kuchunga kondoo na kuhubiri dini,mambo ya kujifanya wao wana kauli juu ya serikali na viongozi wastaafu wakome.
Kikwete ni Rais Mstaafu na Taifa bado linaweza kumtumia kwa ushauri na busara zake za uongozi kama mstaafu,sasa maaskofu mnataka akae kimya au asishiriki shughuli za nchi hii kwa sababu zipi?
Kikwete tafadhali endelea kulitumikia taifa lako kwa weledi na uzalendo wako,hawa maaskofu wasijifanye leo wana uchungu na nchi hii ili hali katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hii walikuwa bega kwa bega na wakoloni.,wachague moja kuhubiri dini au kufungua chama cha siasa na wao waingie ulingoni.
Muulize Samia aliyeko jikoni kwenyewe.Sasa msoga anashauri nyeti gani?