Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Wakati mwingine bora kukaa kimya tu.
 
Serikalin makini hupunguz matumizi yake kipindi kama hiki ili kuwapunguzia wanachi mzigo .sasa hapa kwetu ndo kwanza bi tozo anazidisha manunuzi ya V8
 
Huyo analipwa 80% ya mshahara wa Rais aliye madarakani. Mwenye shibe hajui mwenye njaa.

Pumzika kwa amani JPM hakika tutakumbuka baba. Wakati wa uongozi wako mchele kg 1 ulikuwa tsh. 1200 leo kg 1 hiyo inanunuliwa kwa tsh. 3500/=.


" Najua siku moja mtanikumbuka na mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya". Hatari Daktari John Pombe Joseph Magufuli enzi za uhai wake. Ni miaka miwili tangu ulipotutoka baba na leo ni kumbukizi yako. Tutaendelea kukuenzi kwa kufanya kazi kwa bidii bila kuchoka.
 
Bei ya mafuta Tanzania haipaswi kuwa kubwa kuliko Zambia na Burundi ambao hawana bandari
 
Tanzanians were very Unlucky to be led by him for those ten years. To me he was and he is a Failure and the only thing he is blessed with is to be a Liar, Corrupt and very Hypocrite in life and actions.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…