Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Huyu mzee ni mpuuzi sn, familia yake ipo bungeni, yeye anahudumiwa kila kitu bure atajuaje ugumu wa maisha?
 
Hali za maisha za uingereza na huku bara jeusi zipo sawa .....uchumi upo sawa?
Yeye akiamua kwenda kunywa kahawa Uingereza anaondoka muda wowote na anaenda kulala kwenye Five star hotel atajuaje ugumu wa maisha? majangili yote yapo kwenye system lazima ashangilie
 
vipi wale walioficha hela za plea bargain Uchina?!
Akina nani walificha? Kinachofichwa huwa kinaonekana? Wakati wanaficha aliyefichua alikuwa wapi kufichua? Zilifichwa shilingi ngapi? Zilifichwa kwa jina gani? Je walioficha wamekamatwa na wamechukuliwa hatua gani? Kwanini waziri wa fedha, katibu mkuu wake na gavana wa benki kipindi hicho bado wapo wanadunda tu mitaani halafu mnamsingizia mfu ambaye hata huko mnakodai alificha hiyo hela hakuwahi kwenda? Huyo balozi katika nchi zilikofichwa hizo hela kwanini bado yupo huko huko mpaka leo kama sio yeye alihusika halafu mnamsingia mfu ambaye hayupo kujitetea?

Ninyi mlio hai sasa hivi na mnatuhumu hivi mtajuta kuzaliwa pakipambazuka.
 
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.

'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli

'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka?

Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'

Kwani wanafiki wenyewe wanasemaje?!

Ngoja nitafute pop corn...
 
Nashauri wanafiki wapewe nchi kwa kipindi kilichobaki tuone km wataweza...
 
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.

'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa kweli

'..eeeh unajua wakati mwingine offcourse ndio unasema adui yako muombee njaa wale wasiombea heri Serikali wanadhani lakini wakati mwingine ni lazima wawe wakweli tu haya mazingira wangekuwa wao ndio wako kwenye uongozi wana majawabu gani ndio bei ya mafuta ingeshuka?

Bei ya mafuta imepanda Uingereza penyewe'
Angethubutu kuongea pumba hizo wakati mwamba huyu yupo
1679050145318.png
 
Daah, Kwa haya MAHELAAA lazima JIZI KIKWETE LIFURUKUTE na KUFOKA.

MAHELA MENGI KWELI KWELII, PENSION, MARUPURUPU, NYUMBA BURE, GARI BURE!!

UKIJUMLISHA NA MAHELA ALIYOTUIBIA AKIWA RAIS!

NA MIGODI ALIYOIPORA, NA MADINII, NA PEMBE ZA NDOVUU ALIZOJITWALIAAA!!!

JAMENIIII, THE TRILLIONAIREE!!!

Kwa mlo huo lazima itakuwa kashiba sana , lazima atakuwa anajamba isivyo kawaida
 
Ameanza kujimambafy na yeye. Kwanini hakujitutumua enzi za huyu mwamba? RIP
View attachment 2555225
Nnauhakika hili hulielewi.

Huyo wskuja alijaribu kujimwambafai kwa Kikwete akakuta ngoma ile si ya kitoto, ikabidi akipenda asipende aingie mitini, nduki mpaka Chato, akajibanza guko miezi miwili au mitatu, mpaka alipoomba msamaha ndiyo akarudi Dodoma na Dar, toka aliporudi kujimwambafai kukazima rasmi, akawa heshima na adabu.

Unafikiri neno kujiwambafai lilizuka tu hewani?

Usicheze na Kikwete, ngoma nzito ile, ione inacheka cheka tu.
 
Back
Top Bottom