Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKweli ni kuwa mafuta yamepanda duniani kote , , unafiki ni kusema yamepanda kwetu tu.Jana niliona huu uzi nikadhani wamemlisha maneno mzee wetu... Nimesikiliza mara mbili na kurudia tena nimetafakari sana kwanini maneno haya yalimtoka mstaafu wetu huyu makini.
Dunia ya sasa ni utandawazi na social media ni chachu kubwaKaanza kuvimbiwa asali, kiongozi atakuwa kutoa hope, hata kama hana jawabu la kushusha hiyo bei basi ajitahidi kutufariji wananchi kuwa analifanyia kazi sio kujibu jeuri
Angeondoa tozo zingesaidia sana hata kama yamepanda isingekuwa balaa hiviKasema ukweli. Hebu nyie mnaolalamika vitu kupanda bei mna majawabu gani?
1. Je ungefanya nini bei ya mafuta isipande?
2..Je ungefanya nini bei ya vyakula isipinde ikiwa mvua hazikunyesha vizuri
3. Je ungefanya nini umeme usikatike kama mabwawa ya kuzalisha umeme yana maji kidogo.
4. Ungefanya nini nauli zisipande ikiwa mafuta yameoanda bei.
5. Ungefanya nini...
Mzee amekuwa wa hovyo namna hii? Anataka wananchi wakamlalamikie nani wakati serikali haitimizi majukumu yake ipasavyo?Video ya Mstaafu Kikwete kuhusu kupanda kwa mafuta ni unafiki mkubwa.
View attachment 2555575
Mpaka leo kutegemea kilimo cha mvua ni kipimo tosha watu weusi hatuna akili.Kasema ukweli. Hebu nyie mnaolalamika vitu kupanda bei mna majawabu gani?
1. Je ungefanya nini bei ya mafuta isipande?
2..Je ungefanya nini bei ya vyakula isipinde ikiwa mvua hazikunyesha vizuri
3. Je ungefanya nini umeme usikatike kama mabwawa ya kuzalisha umeme yana maji kidogo.
4. Ungefanya nini nauli zisipande ikiwa mafuta yameoanda bei.
5. Ungefanya nini...
Kasema ukweli. Hebu nyie mnaolalamika vitu kupanda bei mna majawabu gani?
1. Je ungefanya nini bei ya mafuta isipande?
2..Je ungefanya nini bei ya vyakula isipinde ikiwa mvua hazikunyesha vizuri
3. Je ungefanya nini umeme usikatike kama mabwawa ya kuzalisha umeme yana maji kidogo.
4. Ungefanya nini nauli zisipande ikiwa mafuta yameoanda bei.
5. Ungefanya nini...
Kwa mwezi unalipa tozo shs ngapi?Angeondoa tozo zingesaidia sana hata kama yamepanda isingekuwa balaa hivi
Sasa hili jambo la muda mrefu. Kwa hiyo wa kulaumiwa si Samia maana huwezi kubadilisha kilimo kutoka kutegemea mvua kuwa cha umwagiliaji ndani ya miaka miwili tu.Mpaka leo kutegemea kilimo cha mvua ni kipimo tosha watu weusi hatuna akili.
Mimi natafuta fedha zaidi ili kukidhi mahitaji. Sasa hivi nafanya kazi 3Wewe unafanya nini sasa hv kwa maisha yako ya kila siku kwa mfumuko huu wa bei?!