Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Mzee Kikwete: Wanaolalamikia kupanda kwa bidhaa ni unafiki mkubwa

Kama kweli huko uingereza watu wanaingiza pesa nzuri wafanyakazi wasinge andamana kuishinikiza serikali kuwaongezea mishahara ili kuendana na mfumuko wa bei.
Watanzania acheni kulalamika mnapata hela za kuhonga michipuko na kulealwa bar then mnalalamika kupanda kwa unga it doesn't make sense
 
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao...
Yeye anajua bei ya kipi kati ya hivi
 
Wa ww acha mihemko kwaiyo wote watanzania wanafanya hivyo?
90% ndo Maisha yao.

Gharama za Maisha hazijapanda kiasi kikubwa unabidi kuishi kwa kuangalia situation unazaa watoto wengi hauna kipato Cha uhakika, unalewa, unahonga michipuko unafanya ngono zembe hapo utalalamika kila Mwaka

Serikali za nchi za Africa hasa ngozi nyeusi hazinaga mpanga wa kumuokoa mwananchi so Usipokuwa makini unaweza kuzikwa hai.
 
Kuna wakati ufike tuwe mabalozi wa uhalisia wa maisha ya binaadamu na vipi anatakiwa kuishi..tangia dunia iumbwe mwenye kuiumba aliumba kula kwa jasho kwa kila mwanume na kuzaa kwa uchungu kwa kila mwanamke..tujaribu kufanya tafiti kama kuna wakati binaadam aliacha kula kwa jasho na pia kuzaa kwa uchungu..nipeni majibu
 
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao...
Mnafiki ni yule ambaye anamiliki rasilimali halafu anategemea supply ya rasilimali alizonazo zitoke nje.

Atuondolee kiherehere chake
 
Kwa sababu yupo mstaafu mwenye afya njema mwenyewe basi anafikilia kila atakaloongea litakuwa sawa na la mzee Nyerere, Mwinyi au Mkapa!.

Bora angetulia tukawa tunamsikia akiwa huko kwenye majukwaa makubwa ya wastaafu wenzake!.
 
Nani anawezakutuwekea beneficiaries anazopokea raisi mstaaf atuwekee hapa
Zifahamu benefits za Rais mstaafu wa JMT kwa mujibu wa Political Service Retirement Benefit Act, 1999.

On retirement the president is entitled to the following benefits under this law.

To begin with he shall be entitled to annual pension that will be payable to him every month at the rate of 80% of the incumbent president.

He will also be entitled to a gratuity the amount of which is 50% of the total salaries received when in office as a president.

He: is also entitled-to winding up allowance the amount of which is the total salaries accorded to the incumbent president for 24 months.

Other benefits include the diplomatic passport, for him and the spouse, Health insurance for treatment in the United Republic of Tanzania, the service of two vehicles availed to him by the government, a full furnished house with not less than four rooms (self contained) together with the servant quarter.

Maintenance allowance for every month the amount of which shall be equal to 80%, of the salary of the incumbent president. He shall also be entitled to security services to him and his family, one personal assistant, one personal secretary, office attendant, one cook, one laundry man, one laundry man, domestic servant, one gardener, two drivers and he will also be entitled to use the VIP lounge.

If the president dies while in power or after retirement but before - receiving his benefits the dependants shall be entitled to a gratuity the amount of which is equal to the total of all salaries which were received by the president while in power.[2] Again where a retired president dies the widow shall be entitled to a pension of 25% of the salary of the incumbent president.
 
Back
Top Bottom